Huu ndo Ubunifu

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
21,952
Reaction score
43,265
Huyu jamaa angekuwa Nje hakika angekuwa Billionea saa hizi lakini Kibongo bongo yani haya Majiko atauza kwa bei ya ovyo akati idea yake ni Ubillionea tosha... Sema jamaa noma sana la saba lakini akili za Eisten![emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] Akipata muongozo mzuri hakika atakuwa na kampuni yake ambayo itamfikisha mbali sana Asiuze tu Idea.
Your browser is not able to display this video.
 
Sema ndo ivo serikali yetu haitambui michango ya wabunifu lakini ni muda wa kujitafakari kukuza viwanda vidogovidogo ata mbuyu ulianza kama mchicha si ndoto za alinacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…