Huu ndo ukweli kwa kizazi chetu

Huu ndo ukweli kwa kizazi chetu

Hell is real

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2021
Posts
204
Reaction score
364
Habari zenu wakuu!! Ukitafakari dunia tulionayo mda so mrefu duniani itachomwa moto na itaondoka kama ukurasa

Warumi 1:26 Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili; Warumi 1:27 wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke, ya asili, wakawakiana tamaa, wanaume wakiyatenda yasiyopasa, wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao. Warumi 1:28 Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa. Warumi 1:29 Wamejawa na udhalimu wa kila namna, uovu na tamaa na ubaya; wamejawa na husuda, na uuaji, na fitina, na hadaa; watu wa nia mbaya, wenye kusengenya, Warumi 1:30 wenye kusingizia, wenye kumchukia Mungu, wenye jeuri, wenye kutakabari, wenye majivuno, wenye kutunga mabaya, wasiowatii wazazi wao, Warumi 1:31 wasio na ufahamu, wenye kuvunja maagano, wasiopenda jamaa zao, wasio na rehema; Warumi 1:32 ambao wakijua sana hukumu ya haki ya Mungu, ya kwamba wayatendao hayo wamestahili mauti, wanatenda hayo, wala si hivyo tu, bali wanakubaliana nao wayatendao.
 
15668 Tigo inakuletea hadithi mpya ya NDANI YA NDOA, NJE YA NDOA. Jiunge leo BURE kwa kutuma HADITHI 15A kwenda 15668, Siku ya 2 kutozwa Tsh 150/siku au piga 090166xxxxxx
 
15668 Tigo inakuletea hadithi mpya ya NDANI YA NDOA, NJE YA NDOA. Jiunge leo BURE kwa kutuma HADITHI 15A kwenda 15668, Siku ya 2 kutozwa Tsh 150/siku au piga 090166xxxxxx
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom