Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Nakubaliana na wewe mkuu ila sasa katika mazingira hayo ya kutoa mimba huyo unborn anaweza kujitetea mwenyewe? Kama hawezi kujitetea mwenyewe basi anabaki katika himaya ya huyo alimbeba....Kinachoendelea sasa nadhani mbebaji ndiye anajua!
Well, mimi sijawahi kushiriki kutoa mimba kwa namna yoyote ile. Na nitaendelea hivi hivi mpaka siku nitakapovuta pumzi yangu ya mwisho hapa duniani kwani naamini hata binadamu ambaye hajazaliwa (ambaye yuko tumboni) naye anastahili kupewa haki zake za kuishi kama walivyopewa hao waliomtengeneza.
Sawa mzee, lakini huoni kwamba ni jukumu la waliomtengeneza kuzilinda haki zake huyo kiumbe?
Hongera sana Mkuu,
Hata hivyo katika mazingira kama haya...naamini wengi tutajitangaza kuwa tuko upande wako....Sijui nani anaweza kumwaga ushahidi wa kuonesha vininginevyo!!
Lakini kwa nini mtu ajitangaze kuwa yuko upande wangu kama kwenye moyo wa moyo wake anaamini kabisa kuwa alichokifanya ni sawa? Akidanganya na kusema kwamba yuko kwenye upande wangu (pro-life) ilihali alishawahi kushiriki kuondoa uhai wa kiumbe ambacho hakijazaliwa atakuwa hatudanganyi sisi. Atakuwa anaidanganya nafsi yake mwenyewe na nadhani dhamiri itakuwa inamsuta na ataishi na huo msuto hadi siku yake ya mwisho. Uhai wa mtu ni kitu kingine kabisa mzee.
Mzee DC wengi wao sidhani kama hua wanawafikiria hao viumbe.Wengi hua wanawaza tu jinsi ya kubaki kama walivyokua kabla ya kupata mimba...na laiti wangekua wanawaza na hata kuvionea huruma wengine wasingekua wanarudia rudia huo mchezo.Lizzy,
Hayo ni masuala mazuri sana na mazito. Hivi tunadhani kwamba wanaotoa hawajui hayo? Kama wanayajua kwa nini wanatoa?
Kuna tofauti na mfano wa daktari anayevuta sigara huku akijua kuwa inasababisha kansa? Je, kwa nini anavuta??
Mzee DC wengi wao sidhani kama hua wanawafikiria hao viumbe.Wengi hua wanawaza tu jinsi ya kubaki kama walivyokua kabla ya kupata mimba...na laiti wangekua wanawaza na hata kuvionea huruma wengine wasingekua wanarudia rudia huo mchezo.
I mean....mtu anatoa mimba mara tatu nne unaweza sema kuna hata mara moja anahamisha mawazo kwake na kukifikiria kiumbe ambacho kiko kwenye himaya yake?!Kuna watu ni kwamba hawajali lolote ili mradi wao mambo yao yaende,..as simple as that!!!
Mzee DC ngoja mimi nimwage ushahidi.... miaka mitatu iliyopita kuna rafiki yangu alitoa mimba na ilinibidi nimsindikize hosp!!!On her late 20s...anakaa kwake na kazi ya kumwezesha alikua nayo ila kisingizo chake kilikua kwamba aliyempa ni mtu hatari sana (i got to know the guy a little..very agressive and violent) kwahiyo kitendo cha kuwa na mtoto nae kingekua sawa na kifungo.Hongera sana Mkuu,
Hata hivyo katika mazingira kama haya...naamini wengi tutajitangaza kuwa tuko upande wako....Sijui nani anaweza kumwaga ushahidi wa kuonesha vininginevyo!!
Lizzy,
Siwezi kuwasemea watu wa namna hiyo, kwa upande wowote..ama wa kuwalaumu au kuwaunga mkono. Hata hivyo binadamu ni social being na anathiriwa sana mambo ya kisholojia na saikolojia....Hatuwezi kuongelea haya matatizo katika mstari mmoja tu.
Hata hivyo binafsi najua position yangu katika haya masuala!
Naomba nijue position yako....
Hivi mtu aliyetoa mimba hasamehewi Mbinguni?
Nikikwambia kwamba sijalii na jana tulienda na nyumba ndogo hutamweza IGP mwema??
Naona tuendelee tu na mjadala...Kama kusindikiza au kushauri watu tumeshafanya sana!!
Hahhhahaha....sitomwambia hata NN...
Naomba kujua tafadhali...
Lizzy,
Laiti mioyo ya watu ingekuwa transparent au kila dhambi tunayotenda tungekuwa tunapigwa chapa mwili (branded mark) kuna watu wengekosa pa kujificha. Lakini tunaendelea kutesa mitaani kwa sababu siri zetu nyingi tumezibeba wenyewe!
Naona ibaki hivyo hivyo tu!
By the way..Huwezi kujua tofauti ya kuwepo kwa Lizzy au kutokuwepo duniani kwa sababu tayari yupo!