Huu ndo ulinzi wa Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan

Nimependa hao jamaa waliokunja mashati[emoji23][emoji23].unaweza sema ni washikaji tu,kumbe ni timu kamili imevaa sare.
 
Kuna waziri mkuu wa Sweden Kwa kujiona anapendwa sana na wananchi akaamua kuwa anajiachia tu siku moja akiwa anatoka kuangalia mpira na mke wake jamaa akawatungua yeye na mke wake
Olof Palme (Rip).
 
Mungu ndio mlinzi wa ukweli hao wengine ni feki tu. Hata akina Sadat, Gaddafi, Saddam etc walilindwa na makomando lkn they're history.
 
RAISI kama huyu kwanini asiishi miaka 200?

Jiwe siku akija kukaa hivyo Yesu anarudi
 
Ni ushamba wa kiwango cha Airbus kuamini eti rais anazurura peke Yake! Hata awe malaika ulinzi ni lazima, wanaotaka kuua maraisi mara nyingi hata hawana bifu nao, just hulka Tu.

Mf Papa John Paul wa Pili, he was such innocent but kuna mturuki alimmiminia risasi za kutosha!

Tuache ushamba wa kuona rais kulindwa eti kuwa ni mdhambi!!
 
Unajuaje mkuu kama papa hakua na hatia ?!

Huko kwengne naweza kuunga mkono hoja
 
Huyu hapa, alikua so simple,on a halo amezungukwa na watoto na wATU WA kawaida tu
 
Raisi wa uturuki Recep Tayyip Erdogan Ni Moja ya maraisi 10 wenye ulinzi mkali Duniani

Aende Masasi au Ruangwa tuone kama atatoka! Shubamit kule kuna balaa
 
Ikimaanisha vile vile ni Rais wa 10 duniani kwa kuwaogopa waliompigia kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…