Huu ndo upendo wa kweli na wa dhati

Huu ndo upendo wa kweli na wa dhati

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Ilikuwa ni ndan ya jiji la London kwa huko London ilikuwa usiku lakini kwa huku Masharik ya Afrika ilikuwa ni mchana. Mdogo mdogo nilikuwa natembea kwa miguu katika mtaa wa St. Peter ghafula ilikuja gari moja kali sana kulikuwa kuna mtoto matata sana, akashusha kioo akatabasamu kwa tabasamu pana sana, nami hivyo hivyo nikatoa meno yote 30 nje.

Akaniambia panda nikapanda tuliongea mambo mengi sana akanipeleka hadi pale ninapoishi kisha yeye akasepa home kwake.

Asubuhi mlango wangu uligongwa kwa nguvu sana kufungua mlango nikakutana na tabasamu la yule mrembo, nikamkalibisha akaingia ndan nikamukumbatia naye akanikumbatia akaa kitandani tukaanza kupiga mastory ya hapa na pale tuliongea mengi sana akadai kanipenda ile mbaya nami nikamwambia nimekupenda had matatizo.

Kilichofuata ni kumleta home Africa Tanzania Mwanza usukumani tulipanda ndege moja kwa moja had Dar, tulishuka tukapanda bombadier za Maguful hadi Mwanza.

Tulifika home wakatupokea vizuri sana nikamtambulisha nyumban kwa wazazi walifurahi sana kuleta kimwana kutoka Ulaya.

Usiku uliingia tukapewa chumba cha kulala hapa home, kumbuka nilikuwa sijawahi kumpiga mikasi hivyo niliona hiyo ndo fulsa pekee, tuliingia ndani tukaongea kidogo tu.

Ulifika mda nikaomba mechi mtoto alisaula kila kitu akabaki kama alivyozaliwa aisee alikuwa na mapaja meupe ile mbaya nilimchezea sana hadi ikafika wakati akaomba game mwenyewe akalala chali kama kuku anataka kuchinjwa ile naweka tu hivi ndo kitu kinataka kuzama nikashituka toka usingizini.

Kumbe bhana ilikuwa ni ndoto tu wala sikuwa London wala sikuwa mitaa ya St Peter wala sikupanda bombadier ya Magufuli wala hakusaula nguo zake zote na kubaki kama alivyo zaliwa.

Ndoto zingine hizi bhana


LONDON BABY
 
"....Ilikuwa ni ndan ya jiji la london kwa huko london ilikuwa usiku lakin kwa huku masharik ya afrika ilikuwa ni mchana."

UFEKI WA STORI NDOTO HII UMEANZIA HAPO
Sawa hakuna shida
 
Mrejesho bado ulitupia vingap kwenye boxer[emoji4][emoji4]
 
Back
Top Bottom