Huu ndo utabiri wa Ligi Kuu England 2015/16

gmstarpro

Senior Member
Joined
Aug 7, 2015
Posts
101
Reaction score
74



kwa mambo mengine ya kimicheza gonga au click hapa TANDIKA MIKEKA . huku utaona vitu kama ubashiri wa mechi kwa kila siku, ratiba za mechi pamoja na tetesi za usajili
 
hapo kwa timu za juu umepatia. kudosii ........... ila kwa Leicester city hapo hapana.
 
hapo mimi mwenyewe naona kapotea coz jana leicester kampa mtu kipigo
 
hapo mimi mwenyewe naona kapotea coz jana leicester kampa mtu kipigo

sio jana tu! hao jamaa tokea msimu uliopita mechi za mwisho mwisho walikua wabaya mbhaaya!' nilikua nikiwaeka kwenye mkeka wangu hawaniangushi ........... mie nawatabiria 10 kupanda juu.
 
You're entitles to your opinion.
 
Huyu jama ka copy na ku paste last seasons profile. Kasoro points.
 
Mwaka huu nahisi Asernal bingwa!
Kwasababu kila msimu huwa anatabiriwa kutoka top four lkn anakomaa anakuwepo, sasa msimu huu anatabiriwa kuwa wa pili ninaanza kuiona ikitwaa kabisa hiyo ndoo!!
 
It's ok to predict the positions. But points??? Man, it makes you look dumb.
 
kweli asernal bingwa kwa kibano alicho anzanacho nishida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…