Huu ndo wimbo ngwair aliwasifia ccm na kikwete wao lakini wamentosa!!

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Ccm inawatumia wasanii wa bongo kama toilet paper. Ccm wameshindwa kutoa msaada wowote pamoja na kwamba ngwair aliwasifia kwa tungo mahili wao na ccm yao. download na sikiliza huo wimbo HAPA kabla ya kucomment chochote ili mjue ni jinsi gani ccm walivyo na roho ngumu. Hawajatoa hata cent tano, si wao wala rais wao. mia
 
Ni kweli kabisa mi napenda sana pale anapomkumbusha kwa kusema; najua haki za wasanii utatea ,natoa peace kwa dudubaya na babu seya au kwa sababu alimtaja babu seya wa salima fasjet?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…