Huu ni kweli kuhusu Kamari

junior tz

Member
Joined
Jun 10, 2017
Posts
34
Reaction score
28
Kwasasa Watanzania wengi wanapata kuvutika kwakasi kuingia ktk michezo ya kamari bila kuelewa ina ATHARI KUBWA MNO kuanzia katika JAMII na katka DINI coz naamin zaid ya 95% ya watanzania ni wakristo na waislam, din ambazo zinapiga sana vita Kamari kupitia maandiko ya Quran na Biblia. nlitaman sana kuwapa mwanga uharamu na athari za mchezo huu kama ifwatavyo

N;B Kila ntapokuwa nalitaja neno KAMARI ntakuwa nimeyaongelea maneno 5 ya kingreza yenye maana za; GAMBLING, WAGERING, GAMING, LOTTERY, BETTING pia nkitaja kamari namaanisha kiarabu cha maneno 3, MAISIR, MAISIRA na QIMAR]

Anyway,
KUFUPI, KAMARI ni Ku-risk/hatarisha mali ya thaman katika matokeo ya bahati WANAHARAKATI au watetezi WA KAMARI WALIKUJA NA HOJA KUU 2 KUHALALISHA KAMARI

KWANZA husema kamari ni kama bima tu coz kwote si unatoa ela afu mwisho wa siku unaweza ukazipata likitokea la kutokea japo hawa wanaharakati wanasahau bima ipo kumsaidia mtu mwenye matatzo tofauti na kamari huleta matatzo ktk jamii

PILI hutumia vifungu vya bible kama vile walawi walivokuwa wanapiga kura kuchagua mbuzi wa kafara, Yoshua kupiga kura ktk kugawa ardhi kwa makabila 12 ya Israel, Nehemia pia alipga kura kuamua nan wataish ndan ya ukuta wa Yerusalem, mitume wa yesu kupga kura mrithi wa nafas ya Yuda etc. Japo hapa wanakamari hushindwa kutambua kuwa hakuna mali zilizowekwa na washindan(risked assets) tofauti na kamari zilivo ambapo A na B hupanga kila mtu kuweka sh 1000 na mshind wa tukio la la kuamua mshind atapata sh 2000.

TUANZE NA ATHARI ZA KAMARI # KIJAMII ZAID
1. KUCHOCHEA Uvivu - Uchezaj kamari hauusish kufanya kaz inayoongeza pato la taifa GDP kihalali ivo mtu akshnda anapata kpato bila kufanya kaz(hakuna bidhaa au huduma aliyoiongeza ktk uchumi), mbaya xana kiuchumi coz kund kubwa la wananchi likijitoa liwe linaishi kwa kutegemea kamari sjui itakuwaje na tutakula nini.kwamfano!

2.KUHARIBU MICHEZO. Somtyms makampun makubwa ya kamari yanaweza mwonga mchezaj flan mkali acheze chn ya kiwango au yanampa madawa ili acheze chn yakiwango ili timu wanayoamin weng huyo mchezaji ana mchango mkubwa ili ishinde, ifungwe wao wapge pesa ndefu Mfano mzuri MARADONA aleingzwa ktk utumiaj madawa ili Napoli iwe inafungwa na wao wale pesa za wanaozan uwepo wake uwanjan utasaidia Napoli kushnda. Hii ilichangia sana kumuua kiwango Maradona, Napoli ilianza kupata matokeo mabovu na tunaweza kusema pia kashfa ya caciopori, anguko la soka la Italia limechangiwa sana na makampun ya kamari manake kule ndo kama nyumban kuanzia kupanga matokeo nk

3. UJAMBAZ NA WIZ
Wengne wakiliwa pesa hawana seem nyngne ya kupata ivo hulazmika kutafta pesa isivo halali kwa kupora watu,mabenk maofis etc. Nch kama Italy ilipata xana tatzo ili lililoletwa na wanakamari ambao weng hawkuwa na ajira

4. ADDICTION yake ni mbaya sana kama ulevi wazungu weng wameathrika na ulev wa kamari kama watz tulivoathirika na ulevi wa pombe za madebe eg mbege, ilanz, chimpumu, pombe ya mahindi etc

MECHANISM ukishndwa utataman utafte ela tena ukacheze kurudisha ulizoliwa na ukishinda utataman ucheze tena kujiongezea ela zaid si mnajua ela ikishakutawala hautarizika nayo

5. USTAWI_MDOGO WA JAMII coz mshahara wa baba unatumika zaid ktk kamali na si ma2miz ya nyumban ata ndoa yaweza vunjka coz family haipat maitaj muim,

6. MADENI umekopa ili ucheze umeliwa aya utalipaje xaxa!!

7. MAISHA YA PRESHA ukishaweka ela au mali yako kitachofwata ni kuish kwa presha had matokeo yatapotoka, hii huweza kuleta madhara makubwa kama vifo vya gafla , magonjwa ya moyo, kuzmia nk

VITABU VYA DINI VINASEMAJE?
1. QURAN
Japo Koran imepiga marufuku. chakuskitisha baaz ya nchi za kiislam kama Iran zmeanza nazo kuzidiwa na wimbi la “business” hii , ila tukija ktk Koran, kamari mekatazwa kabisa na Mwenyezi Mungu Subhanahu wa ta'ala kwa mfano wa vifungu vifwatavyo Surat Al Baqarah 2;219 inasema kwamba “wanakuuliza juu ya ulevi na [HASHTAG]#kamari[/HASHTAG].

Sema: Katika hivyo zipo # dhambi kubwa na manufaa kwa watu. Lakini dhambi zake ni # kubwa zaidi kuliko manufaa yake” (inamaanisha japo kamari ina faida kwa mshind anapata mali ila ina madhara makubwa kuliko faida na ni dhambi kubwa kwa Mungu) pia, Surat Al-Ma’idah 5;90-91 pia inasema “Enyi mlio amini! Bila ya shaka ulevi, na kamari, na kuabudu masanamu, na kupiga ramli, ni uchafu katika kazi ya Shet'ani. Basi jiepusheni navyo, ili mpate kufanikiwa.”
.
Wacheza kamari huendeleza roho mbaya na yakiadui dhidi ya mshindani wake japo wanaweza wakadai kupoteza hela kwao sio ishu ila naweza kuhoji hili, mtu alepoteza ela ktk kamari weng huwa frustrated kutokana na matokeo kuwa mabaya, hasira ya kushindwa na majuto ya kucheza

2. BIBLE
KIufupi tu hakuna kifungu cha bible kinachokataza DIRECT kamari ila kuna rundo la vifungu linalokataza kila mchakato wa kamari unavunja sheria

Kwanza USITAMAN MALI YA MTU MNGINE – kamari ni mchezo ulolenga ktk tamaa za kujtajirisha kwa # haraka kwa kujinufaisha kwa hasara, maumivu, na kuptia mali za m2 mngne huku mwenzako akpata # hasara na Mungu ametukataza # tustaman mali za m2 mngne kutoka 20:17.

Na pia tunaona ktk mithal 13:11Mungu kuptia mfakme Suleiman anaonya kuwa tuspende sana utajir wa haraka (kwanjia za panya) ni bora ujitaftie # kdogokdogo lakn cha halali. Kushinda kamari ni utajiri wa haraka na wa njia za panya kwa kufaidika 100% kwa machoz ya mtu. mithali 10:4 inatukumbusha tujtajirishe kwa bidii za mikono na sio kuwa wavivu Vifungu hivi vinatuonya attitude unayotakiwa kuwa nayo kuusu pesa I Tim 6:10 Pesa ndo shina la maovu meng dunian kuwa nayo makn Waebr 13:5 kaa mbali na tamaa ya pesa, rizka na ulichonacho pia Marko 4;19, 10;25 na Luka 16;13 zinatueleza ilivo ngumu kwa mtu mwenye tama ya pesa na mali kama mcheza kamari kumpenda Mungu huwez mtumikia Mungu huku una tamaa ya Pesa

SO UKIWA KAMA MTANZANIA MWENZANGU NAKUSHAURI PIGA VITA VITENDO VYOTE VYA KAMARI NA ATHARI ZAKE kama una tabia ya kubetbet acha kiroho safi, kama una tabia ya kuwafwata wale wahuni wa kamari Ubungo acha pia utakuwa umeisaidia jamii na kidini pia umepunguza madhambi. ASANTENI
 
kwasasa Watanzania weng wanapata kuvutika
kwakasi kuingia ktk michezo ya kamari bila
kuelewa ina # ATHARI KUBWA MNO kuanzia ktk
# JAMII na katka [HASHTAG]#DINI[/HASHTAG] coz naamin zaid ya 95%
ya watanzania ni wakristo na waislam, din
ambazo zinapiga sana vita Kamari kupitia
maandiko ya Quran na Biblia. nlitaman sana
kuwapa mwanga uharamu na athari za mchezo
huu kama ifwatavyo
N;B Kila ntapokuwa nalitaja neno KAMARI
ntakuwa nimeyaongelea maneno 5 ya kingreza
yenye maana za; GAMBLING, WAGERING,
GAMING, LOTTERY, BETTING
pia nkitaja kamari namaanisha kiarabu cha
maneno 3, MAISIR, MAISIRA na QIMAR]
Anyway,
KUFUPI, # KAMARI ni #Ku-risk/hatarisha mali ya
thaman ktk matokeo y ya # bahati
WANAHARAKATI au watetezi WA KAMARI
WALIKUJA NA HOJA KUU 2 KUHALALISHA
KAMARI
# KWANZA husema kamari ni kama bima tu coz
kwote si unatoa ela afu mwisho wa siku unaweza
ukazipata likitokea la kutokea japo hawa
wanaharakati wanasahau bima ipo kumsaidia mtu
mwenye matatzo tofauti na kamari huleta
matatzo ktk jamii
# PILI hutumia vifungu vya bible kama vile walawi
walivokuwa wanapiga kura kuchagua mbuzi wa
kafara, Yoshua kupiga kura ktk kugawa ardhi kwa
makabila 12 ya Israel, Nehemia pia alipga kura
kuamua nan wataish ndan ya ukuta wa
Yerusalem, mitume wa yesu kupga kura mrithi
wa nafas ya Yuda etc. Japo hapa wanakamari
hushindwa kutambua kuwa hakuna mali
zilizowekwa na washindan(risked assets) tofauti
na kamari zilivo ambapo A na B hupanga kila
mtu kuweka sh 1000 na mshind wa tukio la la
kuamua mshind atapata sh 2000.
TUANZE NA ATHARI ZA KAMARI # KIJAMII ZAID
1. KUCHOCHEA [HASHTAG]#UVIVU[/HASHTAG] -Uchezaj kamari
hauusish kufanya kaz inayoongeza pato la taifa
GDP kihalali ivo mtu akshnda anapata kpato bila
kufanya kaz(hakuna bidhaa au huduma
aliyoiongeza ktk uchumi), mbaya xana kiuchumi
coz kund kubwa la wananchi likijitoa liwe linaishi
kwa kutegemea kamari sjui itakuwaje na tutakula
nini.kwamfano!
2.KUHARIBU MICHEZO. Somtyms makampun
makubwa ya kamari yanaweza mwonga mchezaj
flan mkali acheze chn ya kiwango au yanampa
madawa ili acheze chn yakiwango ili timu
wanayoamin weng huyo mchezaji ana mchango
mkubwa ili ishinde, ifungwe wao wapge pesa
ndefu Mfano mzuri # MARADONA aleingzwa ktk
utumiaj madawa ili Napoli iwe inafungwa na wao
wale pesa za wanaozan uwepo wake uwanjan
utasaidia Napoli kushnda. Hii ilichangia sana
kumuua kiwango Maradona, Napoli ilianza kupata
matokeo mabovu na tunaweza kusema pia
kashfa ya caciopori, anguko la soka la Italia
limechangiwa sana na makampun ya kamari
manake kule ndo kama nyumban kuanzia
kupanga matokeo nk
3. # UJAMBAZ NA WIZ
Wengne wakiliwa pesa hawana seem nyngne ya
kupata ivo hulazmika kutafta pesa isivo halali
kwa kupora watu,mabenk maofis etc. Nch kama
Italy ilipata xana tatzo ili lililoletwa na
wanakamari ambao weng hawkuwa na ajira
4. # ADDICTION yake ni mbaya sana kama ulev,i
wazungu weng wameathrika na ulev wa kamari
kama watz tulivoathirika na ulevi wa pombe za
madebe eg mbege, ilanz, chimpumu, pombe ya
mahindi etc
.
# MECHANISM ukishndwa utataman utafte ela
tena ukacheze kurudisha ulizoliwa na ukishinda
utataman ucheze tena kujiongezea ela zaid si
mnajua ela ikishakutawala hautarizika nayo
5. , # USTAWI_MDOGO WA JAMII coz mshahara
wa baba unatumika zaid ktk kamali na si ma2miz
ya nyumban ata ndoa yaweza vunjka coz family
haipat maitaj muim,
6. # MADENI umekopa ili ucheze umeliwa aya
utalipaje xaxa!!
7. # MAISHA YA PRESHA ukishaweka ela au mali
yako kitachofwata ni kuish kwa presha had
matokeo yatapotoka, hii huweza kuleta madhara
makubwa kama vifo vya gafla , magonjwa ya
moyo, kuzmia nk
VITABU VYA DINI VINASEMAJE?
1. QURAN
Japo Koran imepiga marufuku. chakuskitisha
baaz ya nchi za kiislam kama Iran zmeanza nazo
kuzidiwa na wimbi la “business” hii , ila tukija ktk
Koran, kamari mekatazwa kabisa na Mwenyezi
Mungu Subhanahu wa ta'ala kwa mfano wa
vifungu vifwatavyo
Surat Al Baqarah 2;219 inasema kwamba
“wanakuuliza juu ya ulevi na [HASHTAG]#kamari[/HASHTAG]. Sema:
Katika hivyo zipo # dhambi kubwa na manufaa
kwa watu. Lakini dhambi zake ni # kubwa zaidi
kuliko manufaa yake”
(inamaanisha japo kamari ina faida kwa mshind
anapata mali ila ina madhara makubwa kuliko
faida na ni dhambi kubwa kwa Mungu)
pia, Surat Al-Ma’idah 5;90-91 pia inasema “Enyi
mlio amini! Bila ya shaka ulevi, na [HASHTAG]#kamari[/HASHTAG], na
kuabudu masanamu, na kupiga ramli, ni uchafu
katika kazi ya Shet'ani. Basi # jiepusheni navyo,
ili mpate kufanikiwa.”
.
Wacheza kamari huendeleza roho mbaya na
yakiadui dhidi ya mshindani wake japo wanaweza
wakadai kupoteza hela kwao sio ishu ila naweza
kuhoji hili, mtu alepoteza ela ktk kamari weng
huwa frustrated kutokana na matokeo kuwa
mabaya, hasira ya kushindwa na majuto ya
kucheza
2. BIBLE
KIufupi tu hakuna kifungu cha bible
kinachokataza DIRECT kamari ila kuna rundo la
vifungu linalokataza kila mchakato wa kamari
unavunja sheria
[HASHTAG]#KWANZA[/HASHTAG] USITAMAN MALI YA MTU MNGINE –
kamari ni mchezo ulolenga ktk tamaa za
kujtajirisha kwa # haraka kwa kujinufaisha kwa
hasara, maumivu, na kuptia mali za m2 mngne
huku mwenzako akpata # hasara na Mungu
ametukataza # tustaman mali za m2 mngne
kutoka 20:17.
Na pia tunaona ktk mithal 13:11Mungu kuptia
mfakme Suleiman anaonya kuwa tuspende sana
utajir wa haraka (kwanjia za panya) ni bora
ujitaftie # kdogokdogo lakn cha halali. Kushinda
kamari ni utajiri wa haraka na wa njia za panya
kwa kufaidika 100% kwa machoz ya mtu. mithali
10:4 inatukumbusha tujtajirishe kwa bidii za
mikono na sio kuwa wavivu
Vifungu hivi vinatuonya attitude unayotakiwa
kuwa nayo kuusu pesa
I Tim 6:10 Pesa ndo shina la maovu meng dunian
kuwa nayo makn
Waebr 13:5 kaa mbali na tamaa ya pesa, rizka na
ulichonacho
pia Marko 4;19, 10;25 na Luka 16;13 zinatueleza
ilivo ngumu kwa mtu mwenye tama ya pesa na
mali kama mcheza kamari kumpenda Mungu
huwez mtumikia Mungu huku una tamaa ya Pesa
SO UKIWA KAMA MTANZANIA MWENZANGU
NAKUSHAURI PIGA VITA VITENDO VYOTE VYA
KAMARI NA ATHARI ZAKE kama una tabia ya
kubetbet acha kiroho safi, kama una tabia ya
kuwafwata wale wahuni wa kamari Ubungo acha
pia utakuwa umeisaidia jamii na kidini pia
umepunguza madhambi. ASANTENI
 
Mzee ujadanganya mbaka nimekujakustuka kamari ilinitenda sana imepoteza ela yngu nyingi sana nashukuru now nimepunguza kabsa kamari
 
Umeniudhi tuu kwenye kuifananisha MBEGE na Vitu vya kipuuzi.
 
Uzuri wa biblia kila mtu anaweza kutafsiri anavyo taka...asnt kwa tafsiri yk.
 
Umewasilisha vizuri na ni facts tupu, ila punguza utoto katika uandishi wako
 
Convert to Pagan.
Problem solved.
 
kama uliwai kufanya biashara na ukapata faida, iyo nayo DHAMBI KUBWA , kuliko hata betting, [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Maisha yamejaa kamali kuanzia pale unapozaliwa hadi unakufa... Unasomeshwa huku hujui kwamba utafauru ama utaferi,... Ukiferi tayari umeliwa maana umegharamia ada

Unaumwa unaenda tibiwa kwa gharama kubwa lakini hujui kwamba utapona ama utakufa... Ukifa tuu umeliwa nayo in kamali....

So kamali ipo na itachezwa
 
Umefunika mkuu yaani atakae kubishia hajui
 
daa unaniudhi mkuu saizi tu nimetoka kunyolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…