Dennis Robert Shughuru JF-Expert Member Joined May 30, 2024 Posts 5,559 Reaction score 8,747 Oct 30, 2025 #1 Katikà wakati mzuri wa kupush katiba mpya basi ni kipindi hiki hasa kwa madhila yaliyotokea jana na kama tunania ya dhati ya kuiponya nchi Kupunguzà madaraka ya Rais Kuhakikisha viongozi wa tume ya uchaguzi hawachaguliwi na Rais Jaji mkuu kutokuchaguliwa na Rais Dpp kutokuchaguliwa na Rais Msajili wa vyama vya siasa kutokuchaguliwa na Rais Spika wa bunge kutokutokana na chama chochote cha siasa Waziri kutokua mbunge Haya ni maoni yangu unaweza ukaweka yako
Katikà wakati mzuri wa kupush katiba mpya basi ni kipindi hiki hasa kwa madhila yaliyotokea jana na kama tunania ya dhati ya kuiponya nchi Kupunguzà madaraka ya Rais Kuhakikisha viongozi wa tume ya uchaguzi hawachaguliwi na Rais Jaji mkuu kutokuchaguliwa na Rais Dpp kutokuchaguliwa na Rais Msajili wa vyama vya siasa kutokuchaguliwa na Rais Spika wa bunge kutokutokana na chama chochote cha siasa Waziri kutokua mbunge Haya ni maoni yangu unaweza ukaweka yako
J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 38,298 Reaction score 72,863 Oct 30, 2025 #2 ..Tume ya Ukweli, Haki, na Upatanishi. ..walioumizwa, na kupotea, lazima HAKI yao ipatikane. ..Katiba Mpya isitumike kama chambo cha kupotezea uovu uliotendeka kwa Watanzania wenzetu.
..Tume ya Ukweli, Haki, na Upatanishi. ..walioumizwa, na kupotea, lazima HAKI yao ipatikane. ..Katiba Mpya isitumike kama chambo cha kupotezea uovu uliotendeka kwa Watanzania wenzetu.
Lord Denning JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 23,491 Reaction score 57,973 Oct 30, 2025 #3 Wewe chawa tulia kwanza tulikomboe Taifa tutarudi kwako. Ila mawazo yako tunayapokea
Farolito JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 15,126 Reaction score 35,515 Oct 30, 2025 #4 Wewe Jana sabubuhi si ndio ulisema maandamano yamefeli