Huu ni mfano wa kuigwa. Raia wema wasalimisha silaha haramu huko Ruvuma

Huu ni mfano wa kuigwa. Raia wema wasalimisha silaha haramu huko Ruvuma

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Kamanda wa Polisi Mkoa Ruvuma ACP MARCO CHILYA akionesha baadhi ya silaha zilizosalimishwa na raia wema baada ya Notisi ya msamaha wa usalimishaji wa silaha kwa hiari zinazomilikiwa kinyume cha sheria.

chilya.jpg
 
Mkuu, hapo kwenye kichwa cha habari umetulipua na "siraha", wakati taarifa uliyoisoma wameandika kwamba ni "silaha".
Sasa sijui nimuamini nani.
Wacha tu nikawashe fegi, nitarudi mnieleweshe.
 
Mtu aliyekuwa anamiliki silaha isivyohalali anakuwaje raia mwema?! Mleta mada ni mwendawazimu.
Ni chawa zinazovizia teuzi,Kama fisi anavyosubili mkono wa binadamu udondoke.
 
Mtu aliyekuwa anamiliki silaha isivyohalali anakuwaje raia mwema?! Mleta mada ni mwendawazimu.
Ni chawa zinazovizia teuzi,Kama fisi anavyosubili mkono wa binadamu udondoke.
 
Back
Top Bottom