Huu ni moja kati ya mitindo migumu ya kudesign majengo

greater than

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
1,653
Reaction score
3,060
Mara ya mwisho tuligusia mitindo/styles za muonekano ambazo wale wenye Ukwasi/matajiri,hupenda kuitumia.

Sasa tuangazie mitindo ambayo hutumiwa kwa wingi na wenye kipato cha Kati.

1.
A.MTINDO WA MODERN
  • ulianzishwa miaka ya 1920
  • Ulianzia ulaya
  • Umbo la jengo hutokana na kazi husika
  • Utumizi wa njia asilia kwenye kupunguza joto au baridi ndani ya jengo
  • Hakuna kuweka urembo kwenye koti.
  • Rangi pendwa ni nyeupe au Kaki iliyopoa
2.Mfano
Nyumba nyingi za kota zilizojengwa na Wakoloni mitaa ya
- Msasani Peninsula,
-Magomeni
-Kinondoni
Soko la kariakoo
Kanisa la Roma ,Oysterbay na Mbulu
Shule za Azania,Kibasila
Maktaba kuu
Mahakama ya Kisutu
Chuo Kikuu Dar es salaam na Chuo cha Sayansi Mbeya.

3.
ED176A77-EAA5-4FF2-AE65-3BB595758A5F.jpeg

Kanisa la Roma Mbulu
images-98.jpeg

St.Xavier/Kibasila Sec.
images-101.jpeg

Mbweni House
images-103.jpeg

Kanisa la Roma, Oysterbay
images-99.jpeg

Kanisa UDSM

4.Huu ni moja kati ya mitindo migumu ya kudesign majengo
-Wajuvi wa mtindo huu ni.Marehemu Antony Almeida na Beda Amuri
 
Mara ya mwisho tuligusia mitindo/styles za muonekano ambazo wale wenye Ukwasi/matajiri,hupenda kuitumia.

Sasa tuangazie mitindo ambayo hutumiwa kwa wingi na wenye kipato cha Kati.

1.
A.MTINDO WA MODERN
  • ulianzishwa miaka ya 1920
  • Ulianzia ulaya
  • Umbo la jengo hutokana na kazi husika
  • Utumizi wa njia asilia kwenye kupunguza joto au baridi ndani ya jengo
  • Hakuna kuweka urembo kwenye koti.
  • Rangi pendwa ni nyeupe au Kaki iliyopoa
2.Mfano
Nyumba nyingi za kota zilizojengwa na Wakoloni mitaa ya
- Msasani Peninsula,
-Magomeni
-Kinondoni
Soko la kariakoo
Kanisa la Roma ,Oysterbay na Mbulu
Shule za Azania,Kibasila
Maktaba kuu
Mahakama ya Kisutu
Chuo Kikuu Dar es salaam na Chuo cha Sayansi Mbeya.

3.
View attachment 2955519
Kanisa la Roma Mbulu
View attachment 2955517
St.Xavier/Kibasila Sec.View attachment 2955516
Mbweni House
View attachment 2955522
Kanisa la Roma, Oysterbay
View attachment 2955518
Kanisa UDSM

4.Huu ni moja kati ya mitindo migumu ya kudesign majengo
-Wajuvi wa mtindo huu ni.Marehemu Antony Almeida na Beda Amuri
Kwa sasa usanifu majengo kwa kiasi fulani ugumu umepungua kwenye kusanifu sababu ya wingi wa taarifa kwa maana ya picha, vipimo, AI na Arch apps. Nisieleweke vibaya hapa sina maana ya kwamba usanifu kuhitajika kwake kumepungua no, lakini kwa sasa ni kawaida mteja kuja kwa msanifu akiwa at least tayari anajua basics za anachokitaka tofauti na zamani.
 
AI haifanyi Design/Sanifu ya kitu kipya hata siku moja, that ability ipo kwa binadamu.
-Sanaa ni ability ambayo binadamu anayo,Ai haileti mawazo mapya, inaleta data ambazo binadamu wameweka.

Picha na Vipimo ni sawa na kusema kuna audio na Video nyingi basi kutengeneza movie na Mziki imekuwa kitu chepesi...
Ugumu ndiyo umezidi ongezeka coz mtu ata taka kitu bora na kizuri kuliko cha kwenye picha.

Mteja kupangilia vyumba na kusema rangi gani ikaye hiyo design.
Design huanzia kwenye kufanikisha jambo lilikuwa impossible liwezekane.
-Kuipa muonekano mzuri nyumba bila hata rangi.
-Kuipa Ulinzi nyumba bila hata kuweka CCTV
-Kuipa halijoto nzuri nyumba bila hata AC na feni,huku ikiwa na madirisha.
 
Mkuu,Do not under estimate the Power of AI.All in all Ni kweli Uwezo wa Binadamu ni mkubwa zaidi ya AI ila efficiency ya AI ni kubwa kuliko ya Binadamu.In short UKITUMIA AI kasi yako ya kutengeneza hicho kitu kipya/wazo jipya inaongezeka Mara dufu kuliko usipotumia AI.
 
AI ipo vizuri kwenye kuchakata data na kufanya mahesabu and probability...

Ila uwezo wa kubuni ni upo kwa binadamu tu ....vyote vinavyofanywa na AI ni vinabuniwa na binadamu and siyo AI.

AI ina uwezo wa kuiga sauti ,lakini haina uwezo wa kutunga melody au mashahiri yenye kuleta hisia.
 
Hongera sana kwa kazi nzuri mkuu. Binafsi naona Modernism ni ngumu kwa sababu ilikuwa pana sana kimitindo na mtu akicheza kidogo tu na baadhi ya elements zake, wasomi wanaipa ki 'category' au ki 'style' kingine. Sijui vinakuwa ndani ya modernism au la, sikumbuki.

Unakuta kazi za Oscar Niemeyer ni tofauti sana na za Le Corbusier nazo ni tofauti sana na za Alvar Aalto, nazo tofauti na za Van De Rohe na Saarinen....mpaka nachanganyikiwa 😁😁

Mfano kwa kuangalia hizi picha, mimi naweza kusema:
K
1. Kanisa la Roma Mbulu limekaa ki 'post modernist' zaidi.

2. Kibasila Sec na Mbweni House ni straight out of Bauhaus na De Stijl school of thought.

3. Kanisa la UDSM limekaa ki 'brutalist'

Lakini zote modernist 🤷‍♂️
 
Mkuu,TRUST me.Ukimchuka avaerage human ukamuweka na AI,AI inaweza kutoa kitu kizuri zaidi.Kubuni sio sawa na Kuumba(Creating Something out of Nothing) AI kama Product ambayo imebuniwa na Binadamu inao uwezo wa kubuni kama Binadamu.Siataki kusema zaidi ya Binadamu maana bado itamyhitaji Binadamu katika uendeshaji wake.Ila ingekuwa na uwezo wa kuamua yenyewe bila maelekezo kautoka kwa biandamu basi Ingempiga bainadamua gape kubwa sana.
 
Soma maana ya Ubunifu/imagination...
Hiyo ni kitu ambacho binadamu ameumbwa nacho...binadamu ana hisia.

Yani hapo AI haiwezi mshinda binadamu hata yule asiyeenda shule, coz Ubunifu upo ndani yetu tunazaliwa nao.
Tumeumbwa na hisia and mawazo, AI haina io ability.
 
Duh,Anyway nafikiri sasa tujikite kwenye mada ya Msingi kuhusu Ubunifu wa Majengo.Kwa kuwa mimi sio mtaalam wa kubuni majengo basi nikubaliane na wewe kwamba katika Tasnia ya UBunifu wa Majengo AI haiwezi kumzidi Mbunifu mzuri wa Majengo.
 
Hongera sana kwa kazi nzuri mkuu. Binafsi naona Modernism ni ngumu kwa sababu ilikuwa pana sana kimitindo na mtu akicheza kidogo tu na baadhi ya elements zake, wasomi wanaipa ki 'category' au ki 'style' kingine. Sijui vinakuwa ndani ya modernism au la, sikumbuki.

Unakuta kazi za Oscar Niemeyer ni tofauti sana na za Le Corbusier nazo ni tofauti sana na za Alvar Aalto, nazo tofauti na za Van De Rohe na Saarinen....mpaka nachanganyikiwa 😁😁

Mfano kwa kuangalia hizi picha, mimi naweza kusema:
K
1. Kanisa la Roma Mbulu limekaa ki 'post modernist' zaidi.

2. Kibasila Sec na Mbweni House ni straight out of Bauhaus na De Stijl school of thought.

3. Kanisa la UDSM limekaa ki 'brutalist'

Lakini zote modernist 🤷‍♂️
Umechanganua kwa usahihi kabisa mkuu,,
Mi nkionaga watu huwa wana jitangaza kuhusu design za Nyumba za Modern huwa nacheka sana.

Huu mtindo ni balaa
 
Hongera sana kwa kazi nzuri mkuu. Binafsi naona Modernism ni ngumu kwa sababu ilikuwa pana sana kimitindo na mtu akicheza kidogo tu na baadhi ya elements zake, wasomi wanaipa ki 'category' au ki 'style' kingine. Sijui vinakuwa ndani ya modernism au la, sikumbuki.

Unakuta kazi za Oscar Niemeyer ni tofauti sana na za Le Corbusier nazo ni tofauti sana na za Alvar Aalto, nazo tofauti na za Van De Rohe na Saarinen....mpaka nachanganyikiwa 😁😁

Mfano kwa kuangalia hizi picha, mimi naweza kusema:
K
1. Kanisa la Roma Mbulu limekaa ki 'post modernist' zaidi.

2. Kibasila Sec na Mbweni House ni straight out of Bauhaus na De Stijl school of thought.

3. Kanisa la UDSM limekaa ki 'brutalist'

Lakini zote modernist 🤷‍♂️
Philip Johnson, Mies Van de Rohe na Luis Baraggan hawa ni Minimalist Modernists.

Beda,Le Corbusier na Goldberg hawa ni Butalists...

Japanese wengi walikuwa Metabolisms

Renzo Piano,Rogers na Foster hawa ni High tech...

Gehry ni master wa Deconstruvism

Adolf Meyer na Gropius ni Bauhaus
Niemyer ni Expressionists
 
Ndi
Philip Johnson, Mies Van de Rohe na Luis Baraggan hawa ni Minimalist Modernists.

Beda,Le Corbusier na Goldberg hawa ni Butalists...

Japanese wengi walikuwa Metabolisms

Renzo Piano,Rogers na Foster hawa ni High tech...

Gehry ni master wa Deconstruvism

Adolf Meyer na Gropius ni Bauhaus
Niemyer ni Expressionists.
Nadhani ndiyo maana mimi napenda zama hizi za sasa. Nadhani tuko katika "comtemporary" period, ambayo kiuhalisia ni kama tu kimuendelezo cha modernism maana hata 'modern' na 'contemporary' maana ni ile ile. Sema kwenye comtemporary (nadhani kuanzia 1970s hapo) attitude ni "anything goes".

Huku unawakuta kina Piano, Rogers na Foster na high tech yao...unawakuta kina Libeskind, Hadid na Gehry na deconstructivism yao....unawakuta kina Francis Kéré na Mariam Kamara na style zao sijui hata wanaziitaje 🤣🤣...wapo humu architects wetu wa bongo wa sasa pia...

Naona ili kujirahisishia kazi kibongo bongo, nyumba ikiwa "open plan" inaitwa "modern" na ikiwa na style ya kuficha bati, rangi ya kijivu na iwe na stripes chache za plaster za red au white, inaitwa "contemporary".
 
Back
Top Bottom