Huu ni Msiba au Sherehe?

Huu ni Msiba au Sherehe?

MFALME WETU

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2021
Posts
4,071
Reaction score
10,028
Nimeikuta uko mitandaoni

Imenifikirisha sana.!!
 
Hii ni baada ya kumuuguza marehemu muda mrefu,machungu yanakua madogo maana watu wanakua wamejiandaa kisaikolojia.
Misiba ya ghafla hua akili haiwezi kukubali kwa haraka.
Mfano ajali ya ghafla na mjane/watoto wabaki hawajui hata password ya Bank ni kisanga
 
Yaani mfiwa wa karibu namna hiyo anachagua kipande cha kuku, duh!
 
Hii ni baada ya kumuuguza marehemu muda mrefu,machungu yanakua madogo maana watu wanakua wamejiandaa kisaikolojia.
Misiba ya ghafla hua akili haiwezi kukubali kwa haraka.
Mfano ajali ya ghafla na mjane/watoto wabaki hawajui hata password ya Bank ni kisanga
Kidogo una make sense ila nachoamini msiba ni msiba tu, especially ukitokea ndani ya familia
 
Huku kwa mafukara ndo tunapata misiba sasa

Wewe imagine unalia alafu unaona plate zimeishia mkondo wa 2 kulia kwako na frequency ya kuletwa sahani inazidi kushukaa
unabakiii MUNGU WANGU WEEEEEEEEEEEE
Mambo ya mikoani ayo mkuu
 
Back
Top Bottom