Huu ni muda wa Yanga kuifunga Simba mdomo

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Sasa huu ni muda wa Afrika kujua Yanga ndio baba wa mpira wa Tanzania. Simba atagongwa na Al Ahly kwenye Afrika Super League tena nje ndani.

Nina imani kubwa Yanga atawagonga Al Ahly nje ndani ili maneno yageuke kuwa Al Ahly walikuwa wamewekeza nguvu zao zote kwenye Afrika Super League ndio maana wamepigwa na Yanga nje ndani.

Ninachoongea ninaweza nisisikilizwe au kueleweka na mwishowe kuchekwa lakini siku zote huwa nasemag; mda utaongea.
 
Hakika aliewaita utopolo aliwaza mbali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu walishaanza kukupopoa.
Na hapo wale mashabiki lialia wa makolo hawajaiona thread
 


Mashabiki WA YANGA hatuna AKILI.

YANGA WAPUMBAVU.

YANGA hawajasoma shule
 
"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
Ujinga mwingine huu
 
Ni moja ya watu ninaogopa nyuzi zao za kiutabiri ni pamoja na huyu jamaa. Msimu uliopita aliweza kuipa nafasi Yanga kufanya vizuri shirikisho. Juzi kaja na mada za kelele za hatumtaki Robertinho zitaisha kwa Yanga kufungwa na Ihefu na Simba kushinda kwa Prisons. Likatimia, embu tuone hili. Uzuri ni kwamba kila mwanasimba aliomba Yanga apangwe na Al Ahly ili wakomoke na CAF wakafanya hivyo halafu wakampa na nyongeza juu ya bingwa wa Algeria (Belouizdad)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…