Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Una roho mbaya mnoNaona umeona AIBU kuweka picha ya KOMBE LENU kama mashine ya kusagia unga
Kombe tulipewa lini?Naona umeona AIBU kuweka picha ya KOMBE LENU kama mashine ya kusagia unga
Kituo kifuatacho ni Brazil kuchukua ubingwaRangi za kibabe kweli kweli! Wacha tu zichukue ubingwa kwenye nchi zao.
Kamwe huwezi kulinganisha na zile rangi za kimakolo makolo.
Simba huwa haipendi ushenzi. Wakikustukia tu lazima utimuliwe. Ila Yanga ndiko kamchezo kao kuanzia viongozi hadi wachezaji. Rejea kauli ya kabwili.Oneni mambo yenu hukuView attachment 2266873
Unamsahau KABWILI?🤣🤣🤣Oneni mambo yenu hukuView attachment 2266873
Unamsahau KABWILI?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]