Pre GE2025 Huu ni Mwaka wa Uchaguzi wa Viongozi wa CHADEMA, tuwaombee Tundu Lissu, Heche na Benson Kigaila

Pre GE2025 Huu ni Mwaka wa Uchaguzi wa Viongozi wa CHADEMA, tuwaombee Tundu Lissu, Heche na Benson Kigaila

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ikumbukwe kuwa huu ni Mwaka wa Uchaguzi wa Viongozi wa CHADEMA kuanzia Primary hadi Taifani.

Tusiache kuwaombea kwa Mungu wa Mbinguni awape wepesi.

Mungu Ibariki CHADEMA.
 
Kwa hiyo Mbowe, Mnyika wasiombewe? Kigaila mkewe ni moja ya wabunge wa Covid 19, kwa hiyo ana uhakika wa hela ya kampeni kutoka kwa mkewe.

Pia mkewe amekuwa akilisha familia ya Benson Kigaila kwa kupitia mshahara wa ubunge, halafu, kinafiki, Kigaila anapanda jukwaani kuwaponda Covid 19
 
Back
Top Bottom