Nilikuwa nahitaji wanaojua, kumbe hujui?Kamuulize mku wa majiwe tz, anaweza kuw anajua mana hujifanya mjuaji sana, mimi silijui
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu hamjambo, nmepita maeneo fulani hivi katika matembezi, nimeona mwamba huu wa rangi kama nyeusi hivi; ikabidi nilichukue kwa uchunguzi zaidi, test ya kwanza nimefanya kwenye sumaku na unavutwa na sumaku ninafikiri una Iron content.
Pia nimelipima uzito wake una robo kilo (1/4 kg) Yaani una uzito mkubwa ukilinganisha na miamba mingine yenye umbo sawa na huu ,
Kwa wajuzi zaidi naomba kufahamishwa.
View attachment 1010614

Mzee wa fursaHiyo ni grina mara nyingi huwa ni dalili kuwa eneo hilo linaweza kuwa dhahabu, ni kijiji gani hicho?, kinapatikana wilaya na mkoa gani?
Aisee iyo ni rubyWakuu hamjambo, nmepita maeneo fulani hivi katika matembezi, nimeona mwamba huu wa rangi kama nyeusi hivi; ikabidi nilichukue kwa uchunguzi zaidi, test ya kwanza nimefanya kwenye sumaku na unavutwa na sumaku ninafikiri una Iron content.
Pia nimelipima uzito wake una robo kilo (1/4 kg) Yaani una uzito mkubwa ukilinganisha na miamba mingine yenye umbo sawa na huu ,
Kwa wajuzi zaidi naomba kufahamishwa.
View attachment 1010614
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni grina mara nyingi huwa ni dalili kuwa eneo hilo linaweza kuwa dhahabu, ni kijiji gani hicho?, kinapatikana wilaya na mkoa gani?
Mambo yanapokua magumu bana, litupe tu hamna utajiri hapo. Huko mchuchuma na liganga watu wanasugulia miguu.
Hyo n grina chief n moja ya dalili ya eneo kuwa na diamond ni wap hyo chief au niinbox kwa maelezo zaid
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi tafuta wachimbaji wazoefu wakusaidie kufanya survey, maeneo hayo au ya jirani ni lazima kuna dhahabu ya alluvial au mwamba wa dhahabu maeneo hayo, au tafuta mtu mwenye metal (gold) detector akusaidie

Grina ndo madini gani? Au ulimaanisha Galena ore ya lead? Hafu siyo kila palipo na huo mwamba kuna dhahabu acha kudanganyaHiyo ni grina mara nyingi huwa ni dalili kuwa eneo hilo linaweza kuwa dhahabu, ni kijiji gani hicho?, kinapatikana wilaya na mkoa gani?