Picha IPO wapiSalaam,
Kuna haja gani ya kuweka picha yako kwenye tangazo la huduma au bidhaa yako wakati wewe sio mtu mashuhuri ?
Tunajua kwa watu mashuhuri ni sawa kuweka picha au artwork yake, mfano hata trump juzi tu ametoa Ile parfume yake ya Victory. (Kwa sasa yeye ni raisi wa Marekani hapo sawa maana Kuna watu anamotivate)
Sisemi kwa vibaya ila mfano kaka mkubwa muuza viwanja maarufu Dar (Boss Kwezi) licha ya attention kubwa na umaarufu wa matangazo yako ya viwanja kulikuwa Kuna haja gani ya kuweka picha yako.
Haya Kuna mgahawa upo Kinondoni, jamaa baada ya kuweka picha ya vyakula anaweka bango kubwa Yuko yeye na watoto wake.
Tunaomba maoni mbali mbali toka kwa wadau maana Kuna mtu nilimsikia anasema picha Huwa ina maana kiroho, je ni kweli ndio maana sasahv hata Lucie Stationary eti nae amejiweka pale kwenye bango picha kubwa yupo na taipu leta.
Nawasilisha.
Kidumu chama Cha mapinduzi........
Labda anatangaza brand mpya yake!Haina shida kama itaendelezwa,ila inahitaji promotion ya muda mrefu na mara Kwa mara!Salaam,
Kuna haja gani ya kuweka picha yako kwenye tangazo la huduma au bidhaa yako wakati wewe sio mtu mashuhuri ?
Tunajua kwa watu mashuhuri ni sawa kuweka picha au artwork yake, mfano hata trump juzi tu ametoa Ile parfume yake ya Victory. (Kwa sasa yeye ni raisi wa Marekani hapo sawa maana Kuna watu anamotivate)
Sisemi kwa vibaya ila mfano kaka mkubwa muuza viwanja maarufu Dar (Boss Kwezi) licha ya attention kubwa na umaarufu wa matangazo yako ya viwanja kulikuwa Kuna haja gani ya kuweka picha yako.
Haya Kuna mgahawa upo Kinondoni, jamaa baada ya kuweka picha ya vyakula anaweka bango kubwa Yuko yeye na watoto wake.
Tunaomba maoni mbali mbali toka kwa wadau maana Kuna mtu nilimsikia anasema picha Huwa ina maana kiroho, je ni kweli ndio maana sasahv hata Lucie Stationary eti nae amejiweka pale kwenye bango picha kubwa yupo na taipu leta.
Nawasilisha.
Kidumu chama Cha mapinduzi........
Sahihi mkuu!Inaweza kuwa strategy ya personal branding au just pure attention seeking nonsense, kama picha yako haiongezi trust, credibility, au connection na mteja, then honestly, you’re not marketing, you’re just decorating ego.
Mkuu hao ulio wataja mbona ni watu “maarufu” pia kwenye maeneo yao?Salaam,
Kuna haja gani ya kuweka picha yako kwenye tangazo la huduma au bidhaa yako wakati wewe sio mtu mashuhuri ?
Tunajua kwa watu mashuhuri ni sawa kuweka picha au artwork yake, mfano hata trump juzi tu ametoa Ile parfume yake ya Victory. (Kwa sasa yeye ni raisi wa Marekani hapo sawa maana Kuna watu anamotivate)
Sisemi kwa vibaya ila mfano kaka mkubwa muuza viwanja maarufu Dar (Boss Kwezi) licha ya attention kubwa na umaarufu wa matangazo yako ya viwanja kulikuwa Kuna haja gani ya kuweka picha yako.
Haya Kuna mgahawa upo Kinondoni, jamaa baada ya kuweka picha ya vyakula anaweka bango kubwa Yuko yeye na watoto wake.
Tunaomba maoni mbali mbali toka kwa wadau maana Kuna mtu nilimsikia anasema picha Huwa ina maana kiroho, je ni kweli ndio maana sasahv hata Lucie Stationary eti nae amejiweka pale kwenye bango picha kubwa yupo na taipu leta.
Nawasilisha.
Kidumu chama Cha mapinduzi........
Sawa mkuu so mtu kama MO ana approximately 2.2 Billion USD. Mbona kwenye Ile Mo cola hajaweka picha yake ? Mimi nahisi Kuna kitu hapa Cha kueleweshana mkuuMkuu hao ulio wataja mbona ni watu “maarufu” pia kwenye maeneo yao?
Au wewe unataka umaarufu kama wa nani? Trump?
Biashara zina madaraja pia, kwa daraja la biashara ya Lucie au boss kwenzi ni sahihi tu kuweka picha zao hii ni level ya local
Take it easy mkuu.... maisha sio magumu kiasi cha kuona hili ni tatizo
No Reform No Election
Wanatafuta umaarufu. Wewe ulitaka wafanyeje ili nao wawe maarufu?Salaam,
Kuna haja gani ya kuweka picha yako kwenye tangazo la huduma au bidhaa yako wakati wewe sio mtu mashuhuri ?
Tunajua kwa watu mashuhuri ni sawa kuweka picha au artwork yake, mfano hata trump juzi tu ametoa Ile parfume yake ya Victory. (Kwa sasa yeye ni raisi wa Marekani hapo sawa maana Kuna watu anamotivate)
Sisemi kwa vibaya ila mfano kaka mkubwa muuza viwanja maarufu Dar (Boss Kwezi) licha ya attention kubwa na umaarufu wa matangazo yako ya viwanja kulikuwa Kuna haja gani ya kuweka picha yako.
Haya Kuna mgahawa upo Kinondoni, jamaa baada ya kuweka picha ya vyakula anaweka bango kubwa Yuko yeye na watoto wake.
Tunaomba maoni mbali mbali toka kwa wadau maana Kuna mtu nilimsikia anasema picha Huwa ina maana kiroho, je ni kweli ndio maana sasahv hata Lucie Stationary eti nae amejiweka pale kwenye bango picha kubwa yupo na taipu leta.
Nawasilisha.
Kidumu chama Cha mapinduzi........
Mkuu kila mtu ana hulka yake na levels zakeSawa mkuu so mtu kama MO ana approximately 2.2 Billion USD. Mbona kwenye Ile Mo cola hajaweka picha yake ? Mimi nahisi Kuna kitu hapa Cha kueleweshana mkuu