Elections 2010 Huu ni uchakachuaji kura milioni 8 matokeo yamechukua wiki nzima.

Elections 2010 Huu ni uchakachuaji kura milioni 8 matokeo yamechukua wiki nzima.

Ibra Mo

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2010
Posts
793
Reaction score
102
Wanajamvi em tujiulize jamani yaani watu milioni nane tume imetumia wiki nzima kutoa matokeo je ingekuwa milioni 16 ingekuwaje!!Muda wote huo walikuwa wanafanya nin kama sio shughuli yakuchakachua.
 
Back
Top Bottom