Ibra Mo JF-Expert Member Joined Oct 27, 2010 Posts 793 Reaction score 102 Nov 5, 2010 #1 Wanajamvi em tujiulize jamani yaani watu milioni nane tume imetumia wiki nzima kutoa matokeo je ingekuwa milioni 16 ingekuwaje!!Muda wote huo walikuwa wanafanya nin kama sio shughuli yakuchakachua.
Wanajamvi em tujiulize jamani yaani watu milioni nane tume imetumia wiki nzima kutoa matokeo je ingekuwa milioni 16 ingekuwaje!!Muda wote huo walikuwa wanafanya nin kama sio shughuli yakuchakachua.