Huu ni udhurumaji

Huu ni udhurumaji

Jumanne Mwita

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2014
Posts
530
Reaction score
1,446
Wanaohakiki Korosho wanawaambia wakulima waonyeshe mashamba + hati za umiliki wa mashamba hayo, wakishindwa kufanya hivyo korosho zinachukuliwa na Serikali na hawalipwi hata senti

Hiv huko vijijin ni Watanzania wangapi ambao wanahati za umiliki wa mashamba??
 
Acha uchonganishi ukikamatwa ili uthibitishe utaanza kutoa mimacho funga mdomo wako wewe nimmoja Wa wapinga maendeleo
basi wekeni hapa evidence ya kuwa serikali imeomba vyote hivyo kwa wakulima, sio mnakuja hapa na story zenu za kwenye vijiwe vya kahawa
 
ni DHULUMA na siyo udhurumaji, Mleta mada hebu weka kiambatanisho cha mada yako ili uweze kueleweka
 
Wanafidia hiyo bei ili wakihesabu yote itakuwa kama wamenunua kwa 1500
 
Back
Top Bottom