Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
Wasalaam.
Kuna taarifa kwamba ccm wamechukua baadhi ya mabasi ya yutong yalioagizwa kwa ajili ya jeshi la Tanzania na kuyapaka rangi ya kijani na kuwa mali ya ccm. Huu ni wizi km wizi mwingine ambao ccm wamekua wakiibia taifa hili. Pia wameenda mbali na kupora baadhi ya pikipiki za misafara na kuzibadilisha kuwa mali ya ccm.
Ikumbukwe kwamba ccm walishapora viwanja vyote vya umma kama vile kirumba, tabora, jamhuri, arusha, singinda n.k na kuvigeuza mali ya ccm. Ccm ni wizi tu jana leo na kesho