Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
Duuh haya kesho maandamano vikakombolewe!Wasalaam.
Kuna taarifa kwamba ccm wamechukua baadhi ya mabasi ya yutong yalioagizwa kwa ajili ya jeshi la Tanzania na kuyapaka rangi ya kijani na kuwa mali ya ccm. Huu ni wizi km wizi mwingine ambao ccm wamekua wakiibia taifa hili. Pia wameenda mbali na kupora baadhi ya pikipiki za misafara na kuzibadilisha kuwa mali ya ccm.
Ikumbukwe kwamba ccm walishapora viwanja vyote vya umma kama vile kirumba, tabora, jamhuri, arusha, singinda n.k na kuvigeuza mali ya ccm. Ccm ni wizi tu jana leo na kesho
Nimekuelewa pakubwaKama wameweza kupora madaraka na haki msingi za raia vitu vidogo namna hio washindwe kweli.
Majambawazi sana!Wasalaam.
Kuna taarifa kwamba ccm wamechukua baadhi ya mabasi ya yutong yalioagizwa kwa ajili ya jeshi la Tanzania na kuyapaka rangi ya kijani na kuwa mali ya ccm. Huu ni wizi km wizi mwingine ambao ccm wamekua wakiibia taifa hili. Pia wameenda mbali na kupora baadhi ya pikipiki za misafara na kuzibadilisha kuwa mali ya ccm.
Ikumbukwe kwamba ccm walishapora viwanja vyote vya umma kama vile kirumba, tabora, jamhuri, arusha, singinda n.k na kuvigeuza mali ya ccm. Ccm ni wizi tu jana leo na kesho
Mkiambiwa mkathibitishe mtaweza?Wasalaam.

Wataomba mawakili kumiMkiambiwa mkathibitishe mtaweza?
Alafu Wanajeshi wanawaogopa etiNi hatari sana chama cha siasa kugeuka genge la mashetani.
Weka hapa risiti ya kununulia hayo mabasi au mkataba wa Yutong na Jeshi. Otherwise utakuwa umeleta story za vijiweni tu za watu majoblessWasalaam.
Kuna taarifa kwamba ccm wamechukua baadhi ya mabasi ya yutong yalioagizwa kwa ajili ya jeshi la Tanzania na kuyapaka rangi ya kijani na kuwa mali ya ccm. Huu ni wizi km wizi mwingine ambao ccm wamekua wakiibia taifa hili. Pia wameenda mbali na kupora baadhi ya pikipiki za misafara na kuzibadilisha kuwa mali ya ccm.
Ikumbukwe kwamba ccm walishapora viwanja vyote vya umma kama vile kirumba, tabora, jamhuri, arusha, singinda n.k na kuvigeuza mali ya ccm. Ccm ni wizi tu jana leo na kesho
Ni hatari sana chama cha siasa kugeuka genge la mashetani.