Huu ni ufisadi uliojificha kwenye matokeo ya mitihani

Mwisaki

Senior Member
Joined
Mar 9, 2014
Posts
168
Reaction score
55
Nilikuwa nafuatilia matokeo ya kidato cha 4 ili kubaini chanzo cha "kubuni" matokeo hayo kikubwa nilichogundua ni "wizi" wa kura kwa mwamvuli wa ufaulu.wazazi wanahadaishwa na matokeo hayo ili iwe rahisi wao kushinda kwenye uchaguzi mkuu ujao.elimu kuchanganya na siasa kwa manufaa ya chama ni wizi we angalia mtu mwenye division 4 ya 35 anasomea ualimu je niambie hii ni elim au bora elimu? Elimu haina sera wala muelekeo
 
kazi kwenu muwe macho na wizi huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…