Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,165
Aise mimi bado mdogo hayo mambo siyajui
Huna kazi za kufanya au uko idle muda mrefu
au unaangalia sana porn au uko alone kwako
yote hayo sio kweli nafanya kazi lakini pale tu napopata muda kidogo nawaza hayo mambo tu na raha yake
wanajf nilishawahi kupost siku za hapo nyuma kuwa napenda ngono sana.Lakini siku za hivi karibuni hii hali imezidi kuongezeka nina hamu sana ya ngono yani hata nikiangalia watu wanakiss kidogo mimi huku teari au nikisikia mambo ya mahaba mimi hoi kiasi kwamba hata siwazi mambo mengine?nifanyeje?
Mbona si tatizo!!! ukickia hamu y kufanya ngono si ufanye ......au huna demu?
Mkuu majukumu yakiwepo na yakiwa yanakusumbua hata hilo wazo la ngono hutakuwa nalo
Keep yourself busy all the time na weka mawazo yako katika maendeleo na achana na kuwaza skirt ambazo zipo muda wote na zitaendelea kuwepo tena nzuri zaidi ya hizi
Waza maendeleo yako na waone hawa viumbe watu wa kawaida na fanya mapemnzi au waza mapenzi pale inapobidi
Basi kumbe hauna msimamo! Unajua unacho kifanya.tatizo jingine ni kuwa sina demu permanent napenda radha tofauti