Huu ni ugonjwa au nini?

Huu ni ugonjwa au nini?

LadySwa

Member
Joined
Jan 25, 2009
Posts
77
Reaction score
6
kichwa hakiniumi il nahisi kama tambaazi hasa juu utosini ,na mara nyingine inapotea au pia kama vile uhisi kitu kichwani .
 
Mmh! pole mateso yakizidi nenda kwa daktari.
 
Mkuu pole sana, nenda kafanye vipimo, pale TMJ kuna vipimo vizuri sana vya tatizo lako tatizo ni gharama kubwa
 
Back
Top Bottom