Huu ni ugonjwa au?

NARE

Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
36
Reaction score
6
Jamani mtoto wangu ana mwezi mmoja sasa ila anashtuka sana akilala hata akiwa macho anashtukashtuka na kuanza kulia je atakuwa anaumwa?
 
ndugu yangu mie ni mzazi na kwa experience yangu mwanao ana kitu wanasema mchango ambao huwa unawapata watoto mwanzo wa mwezi ukiandama, katikati ya mwezi na mwisho...huwa wanashtuka hivyo na kama hutamuwahi dawa basi huwa inapelekea degedege.dawa za hospital zipo na za kienyeji zipo pia,mimi nilipata shida sana kwa mwanangu na sikuwa naamini sana dawa za kienyeji na mwisho nililazwa hospital mtoto akiwa na mwezi mmoja na akawa anapewa dawa za usingizi ili awe anatulia muda mwingi ,mwisho wa siku watu wazima wakanipa dawa za majani majani unachemsha na kumnywesha kila muda wa mwezi kuandama unapofika na anapoa kabisaa humuoni kushtuka. SO ushauri wangu kwako nenda hospital kwanza mtoto achekiwe kwanza na kama hana tatizo zaidi ya hilo la kushtuka basi waulize nduguzo wa karibu waliozaa watakwambia zaidi kwa usalama wa mtoto wako,Plz usikurupuke kununua dawa ovyo kwani watoto wadogo ni sensitive sana,hata hizo za wamasai pia uangalie na kuwa makini,mie niliko kuna wamama wanaotoa dawa za watoto,wanachuma majani huku unaona na wanakuelekeza bila hiyana.ALL the Best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…