mawazoyangu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 324
- 65
upo mwanza sehemu gani nikupe maelekezo nilikukuwa na mtoto mwenye hiyo shida kapona tiba iringaAsante mkuu niatkucheki ila mimi niko mwanza yeye yuko Tabora!!
Yuko Tabora
Mkuu hebu tuambie dalili za mwanzo za mgonjwa zilikuaje?kuna siku alizima masaa zaidi ya 8 tukamkimbiza hospital ya mkoa tukaambiwa tumpeleka Mhimbili tukaenda wakamuwekea maji yale maji hayakufanya kitu chochote kwa sababu yalikuwa haendi bali yanarudi tena na damu mpaka wakamfanyia vipimo majibu ni hamna ugonjwa mkuu!
Mi nipo hapa magomeni unaweza nicheki kesho kuanzia 4 ASB 0655 859008 nitakupa maelekezoMwanza nipo maeneo ya kirumba jirani na monarch hotel mkuu, nisaidie!!!
Duh ipo kaz hapo maana kama angekuwa na ugonjwa ungeonekana hospital ebu jarbun kumpeleka kwa mwakasege maana mapepo au mtu aliyelogwa huwa akipelekwa hospital vpmo huwa havionesh chochoteMkuu Neema tulisha peleka kila aina ya maombi lakini mafanikio hamna!!
wewe kumbuka tokea 2007 akiwa kidato cha pili mpaka leo hii hakuna dalili yoyote ya kupona!
Hivi unafkiri kuna binadamu anaweza {(kuacha)} madhambi ya aina zote? c atakua mtakatifu ss huyo, sawa na Malaika tu au Mungu mwenyewe...!!! Ungemshauri ajitahidi kumwomba Mungu ajikatalie kadri atakavyoweza, lkn naamini kuacha dhambi hicho kitu hakipo,,, Msi2danganye nyie walokole kwamba kuna kuacha dhambi,, tunajikatalia tyu kwa kias tuwezavyo bhn,, but in 100% ni ndoto..!!!Anapokuwa anajitambua aombe sana kutafuta mahusiano mema binafsi na Mungu atubu na kuacha aina zote za dhambi na Yesu atampatia uponyaji kusoma biblia na kufunga iwe tabia yake Mungu
Hivi unafkiri kuna binadamu anaweza {(kuacha)} madhambi ya aina zote? c atakua mtakatifu ss huyo, sawa na Malaika tu au Mungu mwenyewe...!!! Ungemshauri ajitahidi kumwomba Mungu ajikatalie kadri atakavyoweza, lkn naamini kuacha dhambi hicho kitu hakipo,,, Msi2danganye nyie walokole kwamba kuna kuacha dhambi,, tunajikatalia tyu kwa kias tuwezavyo bhn,, but in 100% ni ndoto..!!!
Vip mkuu alishapona? Tupe mrejesho TafadhaliMkuu Neema tulisha peleka kila aina ya maombi lakini mafanikio hamna!!
wewe kumbuka tokea 2007 akiwa kidato cha pili mpaka leo hii hakuna dalili yoyote ya kupona!
Poleni sana aiseeNatamani ingekuwa hivo mkuu!
Ningeanzisha uzi mrefu sana wa kushukuru na wengine labda wangepata kupona!
Lakini mpaka leo ni ile ile!
Amani iwe nanyi!
Niende moja kwa moja kuelezea ugonjwa wenyewe,
Wandugu kuna rafiki yangu wa kike ni rafiki yangu wa mda mrefu, mwaka 2007 akiwa shule kidato cha pili alipatwa na ugojwa ambao mpaka leo unamsumbua na hana raha ya kuishi hapa duniani,
Huyu dada kuna hali fulani huwa inamtokea mara kwa mara anaanguka sana na kila akianguka mwili wake unakuwa wa baridi sana, yaana kama wewe ni mgeni wa hali yake unaweza ukahisi amefariki, akianguka anachukua masaa 5-8 ndo hali yake inarejea kuwa ya kawaida,
Huwa anasikia mambo yote yanayotendeka wakati akiwa katika hali ile cha kushangaza hawezi kuongea, kufungua macho wala kunyeyua mguu.
Ni mda mrefu sasa akiwa na hali hiyo nakumbuka siku aliyo wahi kizima kwa mda mrefu alichukua masaa 11, tulisha mtibisha hospitali mbali mbali bila mafanikio na kadiri mda unavyoenda hali inakuwa mbaya zaidi hukuzaliwa hivyo ila ilitokea akiwa kidacho cha pili.
Msaada/ushauri wenu wakuu, kama kuna mmoja wetu aliwahi kuugua/kushuhudia na akapona alifanya ni nini mpaka akapona, tumsaidie huyu dada!!
Asante.