Huu ni ugonjwa gani na matibabu yake ni yapi msaada jamani

Xiang Hao

Senior Member
Joined
Nov 19, 2016
Posts
126
Reaction score
98
Habari wandugu iko kidole kina mwezi wa pili sasa tumejaribu kumkamua lakini hakijatoa usaha kwa hivyo sio jipu na pia sio mdudu maana watu wanadai mdudu hawezi kudumu kwa kipindi kirefu hivyo msaada jamani kwa wenye ujuzi
 
2mnths?? Umeenda hospitali?? Kama bado nakushauri uende huenda ni infection
 
Pole sana naimani utapata ushauri mzuri hatimaye utapata kutibiwa na kupona kabisa
 
Pole..lakini pia muache uzembe mpelekeni hospital hamuwezi sema pesa shida wakati mnamiliki smart phone na bando umenunua fanya mpango uza smart kuokoa afya ua nduguyo.
Sawa utanipa bei gani hii simu
 
Kizamishe kidole nusu ya kidole kwenye maji ya battery (acid). Kutwa mara 3. Kiwe kwenye hiyo acid kwa hata sekunde 20 tu
 
Uyo n mdudu Wa kidore dawa yake n mizizi ya mti Wa matopetope(jina jingne cjui) unatwanga unaweka kesho ukiamka kinaanza kukauka ukiacha utamalza mwaka hakipon au nenda hospital
 
Kuna dawa ina itwa canaz sijui nime patia ni fungus hao!
 
Uyo n mdudu Wa kidore dawa yake n mizizi ya mti Wa matopetope(jina jingne cjui) unatwanga unaweka kesho ukiamka kinaanza kukauka ukiacha utamalza mwaka hakipon au nenda hospital
Shukran mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…