Ngengemkenilomolomo
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 270
- 450
Habari Wana Jf,
Samahani ni kwa wiki mbili sasa nmekua nikiwashwa kuanzia maeneo ya kiunon mpk miguuni hali hyo inanifanya nijikune kila wakati
Mbaya zaidi uume pia unawasha sana hvo nalazimika kujikuna k2 kinachopelekea kichwa cha uume wang kupata mabaka.
Nilienda pharmacy nikaambiwa ni allergie na nikapewa dawa zake lkn bado tatizo ni lile lile najikuna sana ht mbele za watu mpk naona aibu
Naomba tafadhal kama Kuna mtu anafaham huu ni ugonjwa gani na tiba gani nitumie naomba anisaidie.
Natanguliza shukran 🙏