Huu ni ugonjwa gani? Nimekutana na mtu wa hivyo kijinini kwetu.

Uvimbe tu. Lakini kwanini avimbe? Hapo ndo penye hoja kuntu. Je! Ni saratani?

Bazazi
 
Umeshindwa kuleta habari kamiri inayomuhusisha huyo Kijana wa Mbeya matokeo yake umechomoa Picha tu na kuja kutudanganya hapa.
 
Umeshindwa kuleta habari kamiri inayomuhusisha huyo Kijana wa Mbeya matokeo yake umechomoa Picha tu na kuja kutudanganya hapa.
Sasa Powder kwanini wewe usielezee kimapana hili tujue vyema kuliko kupanic ..just i want to know.
J
 
Hiyo Kwa Muonekano ni Neuroblastoma, Ni Type Cancer Huwa Inawapata Sana Watoto Na Ikimpata Mtu Mzim Bas Matibabu Yake Ni Magumu.
Awahi Hospital
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…