Katika pita pita zangu nimekutana na kijana wa takribani miaka 20. Na katika kujenga nae mazoea akaniambia kuwa, amekuwa akiumwa kichwa kila mwezi unapoandama. Na kabla ya kichwa kuanza kuuma hutanguliwa na kupiga chafya mfululizo.
Katika historia, mama yake ana matatizo ya ugonjwa wa kifafa. Aliponisimulia nilidhani labda na yeye amerithi tatizo la mamaye. Lakini nilipompeleka ktk hospitali ya mkoa aliambiwa kuwa hana ugonjwa huo.
Unaweza kuwa ni ugonjwa gani na tiba yale ni nini hasa!!

Mkuu una uhakika hayo Maradhi yake ni kifafa? Mgonjwa amekwenda hospitalini Kuchunguzwa hakuonekana na hicho kifafa Mgonjwa sasa wewe unasema ni kifafa unaoushahidi wowote kuthibitisha kama ni kifafa?Hicho ni kifafa, kwa bahati siku hizi uzoefu unaonesha kinatibika vizuri zaidi hospitalini kuliko tiba zingine. Mpeleke hosp. na uonane na daktari wa afya ya akili atapatiwa dawa ambazo atazitumia kwa muda mrefu kidogo hata kama hiyo shida itaacha mara tu.Atapona. kumbuka akichelewa dawa aweza athirika akili.