Huu ni ugonjwa gani wa kuku?

Huu ni ugonjwa gani wa kuku?

Miguel Alvarez

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2019
Posts
2,856
Reaction score
5,430
Habari za Majukumu wakuu....

Niko na shida na Kuku wangu wa kienyeji...

Ni Siku ya pili kuku wangu hachangamki hata kula awezi kula vizuri

Baada yakumchunguza nimekuja kugundua kinyesi chake si Cha kawaida .. nimejaribu kuambatanisha na picha hapo chini👇🏿👇🏿

Mwenye kujua ugonjwa na tiba ikiwa ya madukani au mitishamba naomba anijuze.

Karibuni wadau...
IMG_20231014_172450_385.jpg
 
Habari za Majukumu wakuu....

Niko na shida na Kuku wangu wa kienyeji...

Ni Siku ya pili kuku wangu hachangamki hata kula awezi kula vizuri

Baada yakumchunguza nimekuja kugundua kinyesi chake si Cha kawaida .. nimejaribu kuambatanisha na picha hapo chini[emoji1541][emoji1541]

Mwenye kujua ugonjwa na tiba ikiwa ya madukani au mitishamba naomba anijuze.

Karibuni wadau...View attachment 2782054
Coscodiosis kuharisha kwa kuku, nunua cocimed poweder buku 4 tu
 
Back
Top Bottom