Habari za Majukumu wakuu....
Niko na shida na Kuku wangu wa kienyeji...
Ni Siku ya pili kuku wangu hachangamki hata kula awezi kula vizuri
Baada yakumchunguza nimekuja kugundua kinyesi chake si Cha kawaida .. nimejaribu kuambatanisha na picha hapo chini[emoji1541][emoji1541]
Mwenye kujua ugonjwa na tiba ikiwa ya madukani au mitishamba naomba anijuze.
Karibuni wadau...
View attachment 2782054