Sahonero New Member Joined Aug 10, 2019 Posts 1 Reaction score 1 Apr 3, 2023 #1 Jamani wadau naomba kuuliza, huyu mbuzi imemuanza shida hyo. Je, huo utakuwa ni ugonjwa gani na tiba yake ni nini?
Jamani wadau naomba kuuliza, huyu mbuzi imemuanza shida hyo. Je, huo utakuwa ni ugonjwa gani na tiba yake ni nini?
mugah di matheo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 6,307 Reaction score 12,410 Apr 4, 2023 #2 Piga tetracycline tu hao ni fangasi tu