Sawa asante nitafanya hivyo huenda ameambukizwaNenda mkampime HIV Test kwanza then muangalie na vipimo vingine ikiwezekana amuone daktar kabisa
Chronic depression...ndugu zangu habari zenu Nina rafiki yangu anaongea mwenyewe kama kichaa halafu anakua mwenye mawazo mengi sana je ni ugonjwa gani au ni ukichaa
hamna dawa za hospitali za kumtibiaNi msongo wa mawazo kutokana na kutofikia mipango yake ya kimaisha
Anaitaji muda mwingi wa kulala ili kupumzisha ubongo maana ana dalili za kukosa usingizi kabisa. Huyo
dawa za kumtibia za hospitaliChronic depression...
hamna dawa za hospitali za kumtibia
Sawa asante sanaHazitibu ila zitamfanya awe na mida mwingi wa kulala na ndo kati ya vitu vinavyompelekea mtu atumie vilevi kwa kupitiliza au kuwa mtumiaji madawa ya kulevya kabisa
Dawa ni moja tu Kuongeza juhudi za ufanikishaji wa maisha yake na kukubaliana na matokeo pale mambo yanapokwebda vili ambavyo hakutaraji yaaan akubaliane na changamoto na kujipa mida wa kutafuta njia muafaka ya kujitoa alipo
miss chagga asante.....napenda sana ushauri wako Mungu akuzidishieduh mpe pole itaisha ni jambo lipo sema atafute mtu anayemwamini aongee naye ..
Sawa asante sana
Mpe mipango ya kupata pesa ili awe anakula milo 3tiba yake inakuaje mkuu
amina mkuu na karibu tenamiss chagga asante.....napenda sana ushauri wako Mungu akuzidishie
Sawa mkuu nitakuja pmKaribu sana na kama kuna uwezekano na jamaa hajafikia hali mbaya mimi nawezampatia ushauri ili kuweka msawazo wa hizo hali kabla haijafikia hatua yakutotambua mambo na kutosikiliza kitu chochote
sawa mkuuMpe mipango ya kupata pesa ili awe anakula milo 3