princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
anahitaji ushauri nasaha ili akubaliane na halialikua anampenda sana huyo bwana tatizo bwana kampenda mchepuko sasa anawaza mambo ya kujinga nilimwambia acha anasema yanamjia yenyewe
ni kweli pia nimemshaur awe anajichanganya sana na watuanahitaji ushauri nasaha ili akubaliane na hali
halafu inabidi apate bwana anaemjali sana atamsahau tu
inawezekana akawa ana majinidepreesion - AMTAFUTE COINCELLOR
AU MAJINI - AKAOMBEWE
Asante sana mkuuPole sana Na mpe pole huyo Dada ,pia kumbuka kumtia moyo kumpa.ushauri wa kupumzika Na kufanya yale anayoyapenda,jitahidi kuwa nae karibu sana toa muda wako mwingi ikiwezekana kuwa naye,mshauri.kuhusu kufanya ibada kwa imani yake,anywe maji mengi.
Unapoamua kuongea nae kuhusu kupima Afya uwe mwangalifu sana tumia lugha itakayomfanya aone umuhimu wa kupima sio kama unahisi chochote...Mungu awasaidie,maana kwa Mungu hakuna linakoshindikana.