Huu ni Ugonjwa gani?

Huu ni Ugonjwa gani?

Wakuchanja

Member
Joined
Oct 12, 2017
Posts
82
Reaction score
54
Hili linaweza kuwa ni tatizo gani? Ama ni ugonjwa upi na unatiba?
Screenshot from 2018-07-10 21-15-18.png
 
'Wakuchanja'' ... the nick corresponds to the dick's disaster! Acha 'kuloweka'... papuchi zishaoza nowadays.

Genital Warts hizo. Inzi kufia kwenye chupa ya bia... UTAMU UTAMUNI.

-Kaveli-
 
Hili linaweza kuwa ni tatizo gani? Ama ni ugonjwa upi na unatiba?
View attachment 806752
Genital warts
Wanasababishwa na Human Papillomavirus. (HPV) unaweza kusoma online.
Kikubwa nenda hospital daktari atakuandikia dawa sema dawa zake sometimes shida mpaka uende Hindu Mandal kwenye maabara yao huko town.
 
Genital warts please nenda haraka hospital upate tiba sahihi na haraka zaidi
 
Ngoma sina asee
Hongera sana mkuu,
Sasa unaanza upya maisha,nenda hospital ukatibiwe genital warts,na baada ya hapo kuwa mwangalifu na wenza wako wa mahusiano ya kwichikwichi.
Ngono si salama tena zama hizi kwa sababu huwezi jiachia na ngono bila ya kujiachia haina raha ,ni kama vile unapiga puchu
 
Back
Top Bottom