Huu ni ugonjwa gani?

Habari wadau ! Nina sumbuliwa na vijipele kama hivo kwenye sehem ya haja kubwa madaktar wa humu naomba mnisaidie dawa au ushauri manake haviumi ila kuna muda vinawasha tu ! Msaada tafadhali mficha maradhi kifo humuumbua !
Alafu kitu bado safi kabisa,hapo tatizo ni hiyo warts tu,ukiitibu hiyo alafu ukanyoa hayo manywele itakua poa sana
 
Kwanin walikaataa kabla hajavua nguo
 
Nashkurun wote mliochangia kwenye Uzi huu! Nawashkuru wote walionipa moyo na walionipa way forward ! Na walionishaur juu ya dawa! Pia niwashkhur wote mlioleta mizaha sina LA kuwafanya mi namuachia MUNGU manake misikuomba huu ugonjwa unikute ! Mnaweza kuumwa ugonjwa zaid ya huu na ukawa mwisho wa maisha yenu!
 
Hizo ni genitàl warts dawä yake ni podophyllin òìnment 0.5% inapatikana pharmacy ya Mansoor Daya posta/Dar mtaa wa samora

Bei ni elfu 10-15

Ila uende na kadi uliyoandikiwa na daktari
 
Duuu kweli bila picha nisingeelewa.picha ni muhimu
 
Kwa nini wanakataa kutoa hiyo dawa kirahisi?
 
Duuuh. Mkuu pakaga mafuta hata makalio. Kalio gumu kama gome la mwembe.


Mengineyo ngoja wausika waje.
Mwanaume bize unaweka mafuta kiganjan unasugua then unayasweka matakon... Doh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…