Huu ni ugonjwa gani

I conguer !! But l would also suspect for genital warts .. (HPV)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila history n ngumu kukupa dx.....hujasema hata imekuwaje umepata hiyo hali maana kuna magonjwa mengi yanaweza kukupa kitu kama hicho,...ila a spot DX mm ningesema n primary syphilis

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kpind vilikuwa vinanitoka hivyo kila mwezi na huopotea baada ya siku tatu. Ila uliisha wenyewe. Sijui ni ugonjwa gani. By the way mkuu unalipenda jina la kibamia? [emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitibiwa au umepotezea tu?? Kama umepotezea unajichimbia kabuki mwenyewe maana syphilis hatua ya kwanza yaan primary syphilis huanza na kidonda kama hcho kitaalamu huiitwa chancre ,hiki hukaa kana wiki then hupotea bila dawa ,na MTU huweza hisi amepona ila ugonjwa huendelea kukua ndani kwa ndani,baada ya muda huingia secondary syphilis ambapo waweza pata upele mwili mzma kama vile una surua na ya mwisho n tertiary syphilis hii huja hata miaka kumi baada ya primary syphilis.....so nakushauri ukafanye VDRL test ya syphilis na test zingine for more confirmation......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha duuhh ,

Kwan mkuuu unapata maumivu kwa ilo eneo ?na unakojoa mkojo unauma au?
 
Leo kapelekwa na dada yake ambae ni mke wangu hospital. Nikipata majibu ntawapa feedback

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo itakuwa Shingles or Herpes Zoster,nenda hospitali ukatibiwe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…