oldd vampire
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 253
- 52
ameshakwenda hospitali? Muda mrefu sana manake nini?
Hizi symptoms sio za kuchukulia juujuu
kwa nini mpaka sasa hamjaenda hosptali?
kuumwa kichwa mpaka kutoka damu puwani ni dalili ya maradhi mengi tu. La kwanza kabisa ni chronic sinusitis na inabidi utoe dalili nyingine kama vile homa za jioni, mafua, na kadhalika. Lakin all in all ni bora umpeleke hospital.
habari zenu wana jf doctor..samahani boyfriend wangu anaumwa sana kichwa mpaka damu zamtoka puani nyingi tuu..mpaka sometimes hua adondoka kwa ajiri ya kizunguzungu...na kina msumbua mda mrefu sana ..kuna mtu aliniambia ni dalili za brain tumour ni kweli?nisaidieni mana ateseka sana