Nenda hospital, yawezekana una Pelvic inflammatory disease (PID) kama unatoa harufu.
Wakati mwingine kama unaambatana na vigrapes yaani viyai vinavyofanana na zabibu basi huwa tunasema ni Molar pregnancy. Hivyo wahi hospital upimwe wajue ni nini na upate matibabu. Swali je unaujauzito?