-Tumbo linaunguruma kwa mbali
-Mkojo wa njano iliyopitiliza, hata gizani rangi inaonekana hata ukinywa maji mengi
-Miguu inavimba hasa mchana na jioni kwenye misuli ya chini ya magoti na enka kwa kipindi cha miezi kama minne hivi
-Choo kinakuwa na kamasi baadhi ya siku na siku nyingine damu kidogo
-Wakati wa kukojoa kuna maumivu kwenye njia ya mkojo mpaka kwenye kitovu yaani inakuwa kama inavuta hivi
- Usingizi uliopitiliza hasa wakati wa mchana ukiambatana na macho kuwasha
-Kukosekana kwa hamu ya kula chakula
-Joto kupanda mara kwa mara ikiambatana na maumivu ya kichwa
-Maumivu ya mwili na uchovu kiujumla.
Muhimbili, Regency na Mikocheki (Kwa Kairuki) wanasema hakuna tatizo lolote baada ya kupima damu (Full Blood Account), Choo na mkojo pamoja na Ultra Sound.
Je, huu ni ugonjwa gani? Hospitali ipi au Daktari gani anaweza kutoa suluhu ya matatizo haya?
-