Kinachosababishwa Mwanamme kutokwa na usaha na damu ni Maradhi ya Zinaa Mkuu kingfish nenda haraka ukajitibie na mwenzi wako Hospitalini huenda una Maradhi ya aina mbili ya kwanza ni Kisonono kutokwa na usha sehemu zako za siri na ya pili ni Ugonjwa wa kukojoa damu (Hematuria).Nini husababisha mwanaume kukojoa usaha na damu?
Kinachosababishwa Mwanamme kutokwa na usaha na damu ni Maradhi ya Zinaa Mkuu kingfish nenda haraka ukajitibie na mwenzi wako Hospitalini huenda una Maradhi ya aina mbili ya kwanza ni Kisonono kutokwa na usha sehemu zako za siri na ya pili ni Ugonjwa wa kukojoa damu (Hematuria).
HAHAHAAA! SINA UGONJWA HUO ILA KUNA JAMAA YANGU ANA TATIZO HILO,USHAURI ULIONIPA NITAMWAMBIA,THANX MZIZIMKAVU