kuna mtindo wa mtu mzima akisikia mlio mkubwa wa honi anakpandisha midadi ukipita kariakoo vijana wa kihuni utakuta wanawa...j...ammb...sha halafu mtu anaruka wengine unakuta wanajishika shehemu za siri mbele au nyuma ukiwa unaongozana na mtu unayemuheshimu kama mkweo hivi utajionea aibu hivi huwa ni maradhi gani haya?