Bill Lugano
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,189
- 6,450
Nmeona gari nyingi sana zikepigwa misumali flani hivi ya silver milangoni,madirishani na sehemu mbalimbali za gari. Sijaelewa huu ni urembo wa aina gani. Nmeuliza nimeambiwa mnaita "libiti"
Pia hata wengine wanachora chora namba kwenye vioo.najiuliza why uharibu gari kwa vitu vya hovyo tu?yaani hufahamu namba yako ya gari mpaka uichore kila sehem ya gari?
Au ni matangazo kwa watu waifanamu namba ya gari lako? Haya mambo yanapunguza sana thamani ya gari au chombo chako cha usafiri.
Mimi gari zangu zote sijafanya all of them.likiwepo suala la kubandika kibati kwenye side mirrors.nacho huwa sion kinapendezesha nini.
Hivi Mjerumani,Muingereza,Mfaransa, Muitaliano,Mmarekani aone ambacho mmefanya kwenye haya magari si atafeel so bad? Ni uharibifu mkubwa sana wa magari. Huu utamaduni uachwe watanzania. Ukienda Ulaya na Marekani hukuti vitu kama hivyo.
Mimi kwa mara ya kwanza ndo nmekuja kuta nchini nlishangaa sana.