Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Mwamba kapita na spidi 180 kawaachia warembo bili.Nini kimetokea
Si ulimuona tangu mwanzo na kabla ya kuagiza, ungetoa warning.Alicho kosea ni kuja na rafiki yake, wakati mimi nilimuita aje pekee ake π€π€
Akipigiwa simu aongelee hapo hapo, kama hana vocha akanunuliwe.πMwanaume akienda washroom aache simu yake mezani jifunzeni kina dada
Hapana mkuu, wajajna huwa wanafanya hivyo, ichangie ni KAUSHA DAMU π¬π¬Si ulimuona tangu mwanzo na kabla ya kuagiza, ungetoa warning.
Wamekaushwa wao πEpuka kausha damu.
Sahihi sana mkuu, imagine hao watu wazima wawili wameshindwa kuafford walichokula, ni aibu na hii ipo sana kwenye jamii zetu.tujenge jamii isio tegemezi.... malezi ni jambo la msingi sana kufundisha watoto kula au kutumia wanachoweza lipia kiufupi kukaa ndani ya uwezo wako......... na hii sio kwa wanawake tu hata vijana wengi wanapenda kitonga
walipe sasa kama ni hvyoAkiba ya Nini wkt Mtaji anatembea nao popote alipo?
π kawaachia msala wapambane na walichokula.Msera kawaacha solemba ....kala bata kaona bill ni kubwa kasepaπ€£π€£π€£
Walitaka kula wakitakacho bila kujali cost. Imewagharimu.Kausha damu ni ushamba, tho walitakiw kuagiz the same na anaelipa hata kama si kinachafana lakini bei ilingane.
Mwanaume unatokaje nje ya bajeti kwasababu ya kausha damu, Mwamba kaupiga mwingi .