Mungu huwa hawajalii watu wake kuongea chuki,ila anawajaria busara na hekima. Wewe unadhani leo hii ukiwauliza timu yake nzima ya WCB,ndugu jamaa na marafiki zake wa karibu na watu wote ambao DIAMOND kawasaidia watakuona wewe ni mtu wa namna gani,kwa kumzungumzia mtu aliyewasaidia vile ....???Hayo ndo maono Mungu aliyonirudhuku kuyafikilia kulingana na uwezo wangu nawe una ruksa ya kutupanua mawazo tujue tusivyo jaaliwa kuvifikiri.
Prove wronguna uhakika na ulichokiandika
UMELIPWA SHILINGI NGAPI??Kwanza niweke wazi miye sipo timu yoyote ile ila ni mdau wa huu mziki tangu unaanza kukubalika nimekuwa mdau kabla
Prof Jay ajatoka
Gangwe mob, juma nature hawajatoka
Mda mabaga fresh wapo hot nature ajulikani
Enzi za mama mwenye nyumba nk
Sogy dog dog hunter, CAZ T wanasumbua walk man zetu
nk kwaiyo kidogo historia ya mziki huu tangu uanze kulipa naijuia
Sasa nachotaka kusema nini diamond ni msanii mzuri, ana uwezo mzuri sana ila tatizo moja Kijana hajiamini anataka yeye awe yeye tu hilo ndio tatizo lake yeye na uongozi wao hawataki kubali changamoto ambazo ndio zilizowezesha diamond akatoka kimuziki endapo wasanii waliotangulia wangekuwa na roho ya husda kama yake diamond asingetoka
Diamond na uongozi wake hawataki kuona msanii mpya au wazamani anachukua nafasi ya kimuziki yani msanii asikike kazi zake hii ipo wazi kabisa
Kwaiyo wasanii mnatoa nyimbo angalieni hilo suala katika promo zenu msije kuta nyimbo zenu nzuri ila zinafanyiwa figisu ili zisitambe kwa lengo moja tu nyimbo nzuri zikiwa nyingi basi upo uwezekano jamii ikamzoea diamond nikaona kawaida tu hivyo juhudi zimekuwepo kuhakikisha nyimbo nzuri za wasanii wengine hazipati nafasi ili diamond akiachia wimbo usumbue hii ipo wazi
Na hii nimebaini baada ya huu ugovi wa hawa watu diamond na omy dimpoz yani baada ya dimpoz na kiba kuachia wimbo nyie mmeona kama diamond alipanic hivi kaachia nyimbo kwa fujo
Kaenda media kaongea vitu vya ajabu kwa level yake kimuziki ili budi astilli maneno ila Kijana kapanic
Hivyo wasanii angalieni huyu Kijana si mzuri kabisa
Fikilia hizo tabia angekuwa nazo
Dully
Prof
Nk
Je wasanii kama kina diamond wangesikika
Ni mtazamo tu yani kuwa na tabia ya wao kutaka kuwa wao tu
Hapo ndo shida yetu watanzania. Mtu ukimuajiri umemsaidia au mnasaidiana maana hawalipi bure wanafanya kazi na wanalipwa stahik zao. Mfano kina rayvan kawasaidia au wanasaidiana?Mungu huwa hawajalii watu wake kuongea chuki,ila anawajaria busara na hekima. Wewe unadhani leo hii ukiwauliza timu yake nzima ya WCB,ndugu jamaa na marafiki zake wa karibu na watu wote ambao DIAMOND kawasaidia watakuona wewe ni mtu wa namna gani,kwa kumzungumzia mtu aliyewasaidia wao vile ....???
Mkuu unakosea sana kusema ngoma ya darasa haihit wakati ndo inaongoz kwa ngoma zilizotok wiki hii ikifuatiwa na kokoro so tuzipe muda then tutajua kwel kunakuwag na figisu au laKuna kitu kinaitwa Muziki by darassa ft Ben Pol, yaaani kwa jins ngoma ilivyo kali na haihit kiviiileee ndo huwa naamini huenda figisu + ushirikina ndo vinaitawala industry nowadays
Hivi wewe ni mfuatiliaji wa haya mambo kweli ...........Rayvanny na Harmonize WAMESAIDIWA,KWASABABU HAWAKUWA WAMETOKA KIMUZIKI KUSEMA KWAMBA WANAWEZA KUINGIZA PESA. KWAHIYO KAWASAIDIA KUTOKA,KISHA SASAHIVI NDIO WANAFANYA KAZI NA KURUDISHA PESA ILIYOWEKEZWA KWAO.Mtu ambaye hakumsaidia ila amemsaini kufanyakazi ni RICH MAVOKO.Hapo ndo shida yetu watanzania. Mtu ukimuajiri umemsaidia au mnasaidiana maana hawalipi bure wanafanya kazi na wanalipwa stahik zao. Mfano kina rayvan kawasaidia au wanasaidiana?
akiri=akiliHuyo Kijana ni hatari Sana amekuwa akinunua tuzo ikapelekea wasanii wengine kukata tamaa na wengine kufa kwa madawa wakitaka kushindana nae. Alert ulioitowa wenye akiri ndo wataielewa. Jamaa yupo tayari kupambana ili wenzie wasitoke. Kawachukuwa kina rayvan ili wamsitili maana kwa sasa hana kipya katika gem.
Nadhan mihemko ndo shida maana mapenz ni sawa na upofu. Rayvan kamchukuwa ili amsitili maana kwa sasa hana jipya ndo maana unaona anavyo panic katiaka media. Any way time is a good judge.Hivi wewe ni mfuatiliaji wa haya mambo kweli ...........Rayvanny na Harmonize WAMESAIDIWA,KWASABABU HAWAKUWA WAMETOKA KIMUZIKI KUSEMA KWAMBA WANAWEZA KUINGIZA PESA. KWAHIYO KAWASAIDIA KUTOKA,KISHA SASAHIVI NDIO WANAFANYA KAZI NA KURUDISHA PESA ILIYOWEKEZWA KWAO.Mtu ambaye hakumsaidia ila amemsaini kufanyakazi ni RICH MAVOKO.
Najuwa umeelewaAisee
akiri=akili
wamsitili=wamsitiri
Mpaka hapo inadhihirisha ni mtu wa namna gani
Lete kigezo ulichokitumia ............(Kumbuka hatutaki kuongea hisia,ila kitu ambacho unaushahidi wa unachokisema.)Mkuu unakosea sana kusema ngoma ya darasa haihit wakati ndo inaongoz kwa ngoma zilizotok wiki hii ikifuatiwa na kokoro so tuzipe muda then tutajua kwel kunakuwag na figisu au la
wanasaidiana lkn ebu nambie, unahs wangetoka kwa juhudi zao binafs wangekuwa ktk level ya juu kama walivyo saiv... Mfano Harmonize juz kat kapat tuzo mbili za kimataifa. Bila kutokea kwa mgong wa Diamond unahs angekuw hapo alipo kweliHapo ndo shida yetu watanzania. Mtu ukimuajiri umemsaidia au mnasaidiana maana hawalipi bure wanafanya kazi na wanalipwa stahik zao. Mfano kina rayvan kawasaidia au wanasaidiana?
Umeshamaliza hoja,sasa umeipa nafasi chuki uliyojifanya kuificha ikutawale,wacha nikuache sina muda wakujadili chuki na mtu asiyejua hata historia za watu anaowazungumzia.Nadhan mihemko ndo shida maana mapenz ni sawa na upofu. Rayvan kamchukuwa ili amsitili maana kwa sasa hana jipya ndo maana unaona anavyo panic katiaka media. Any way time is a good judge.
Tuzo za diamond and his companies wananunua brother kwa sasa hatuna iman nazo tena. Sory for that bosswanasaidiana lkn ebu nambie, unahs wangetoka kwa juhudi zao binafs wangekuwa ktk level ya juu kama walivyo saiv... Mfano Harmonize juz kat kapat tuzo mbili za kimataifa. Bila kutokea kwa mgong wa Diamond unahs angekuw hapo alipo kweli
Ww jamaa kweli muongo kwa mwaka huu tu hawo mdogo wamepiga show zaidya ishirini asa cjui unataka show gan izo.....punguzen mihemuko mda ukifika automatically atashukaHao uliowataja mavoko,rayvan na hamonize umewasikia wanafanya shoo? Ni moja au mbi na zikizid ni tatu kw mwaka? Unajua maana yake ni nn?
Kupaniki kule hakutokani na kutokuwa na jipya bali ni vitu vya ajab ajab na matusi wanayomtukana kupit kiasi yanawavuruga sana wasanii sema ataivyo wanajitahd sana kuvumilia. Mfano matusi wanayotukana Diamond na kiba kwakwel mtu yeyote lazm upanick, si unaonag Baraka da prince anavyoreact ovyo ovyo akitukanwaNadhan mihemko ndo shida maana mapenz ni sawa na upofu. Rayvan kamchukuwa ili amsitili maana kwa sasa hana jipya ndo maana unaona anavyo panic katiaka media. Any way time is a good judge.
Mbona wewe umeeka alama za mkato tu hata nukta hamna.chizi siku zote hujiona mzima ila anaowaangalia anawaona machizi kumbe yeye ndiye chizi halisi.Uandishi wako tu hasa ulivyoanza hapo mwanzo utafikiri hujasoma kiswahili, Hamna cha koma wala nukta, kiukweli mimi sijakuelewa hasa ulivyoanza, kama vipi rudi shule mkuu