Huu ni ujumbe kwa Wasanii wote wa mziki, Diamond hafai kuweni naye makini

hueleweki. fafanua!
 
 
Amesahau kuwa ktk maisha kuna kupanda na kushuka hivyo yampasa akubali matokeo tu siyo kujiona yy ndo yy,,yuko wapi dudubaya na hit zake miaka hiyo,,mr nice kapotea nani hakumjuwa nice!,je kuhusu ferooz?daimond ni mtumbuizaji kwa hiyo akiona wasanii wazuri kama ally kiba,ommy dimpoz anachachawa sana maana ally na dimpoz siyo watumbuizaji hao ni wasanii kamili
 
Wew jamaa Una Wivu Kama mwanamke mja mzito,,

Kwa hiyo ulitaka Hao akina Dimpoz na Kiba wakitoa nyimbo mpya Diamond aendelee kuogelea tu kweny Swimming pool yke asitoe vibao vipya,,
Kwa Leo mim sijakuelewa labda kesho.
 
Basi tumekuelewa una jingne
 
Kwani dully na prof walichangia kipi kwenye mziki wa mond, acha majungu na ww
 
Ndo madhara ya kuishi kwa shemeji uwezo wa kufikiria huwa unapungua unakuwa unafikiri kila mtu ni shemeji yako
Team vinywele tangu Dimpoz avujishe siri za kaka yenu mmekuwa mkibubujikwa mapovu non-stop [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Akili zenu zimecharuka kama hivi vinywele
 
Aaah!ukiwa kwako huwezi kushabikia ujinga naamin kabsa ww bado unaishi kwenu hadi chupi unanunuliwa na mama ndo maana akili yako haijapanuka
 
Aaah!ukiwa kwako huwezi kushabikia ujinga naamin kabsa ww bado unaishi kwenu hadi chupi unanunuliwa na mama ndo maana akili yako haijapanuka
Hahahaaaaaa rudi shule kwnz mana unaandika vitu ambavyo haviendani na umri wako
 
Hata aajiri vijana elfu lakini jamaa kaelezea udhaifu wa huyo mtu,mtu wa nje ya iyo familia ya wasafi akitoa ngoma kali ye hapendezwi ila kwa sababu wakina ray ni member wakitoa hit inakuwa ni bora kwake na anajivunia hata tuseme wasanii wote wajiunge wcb wakitoa hizo hit atajivunia kwa sababu ni wasanii wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…