Kitendawili
Mimi ni klabu
Nimesajili kikosi cha bilioni moja
Mwaka huu naambulia patupu kwani makombe yote nimeshatolewa.
Nimepigwa goli 10 kwa wiki mbili na bado nadhani zitaongezeka tena
Nilihusika na sakata la kung'oa viti uwanja fulani hivi
Je,mimi ni nani?
Kama unalojibu litoe kimya kimya sipend nigombane na majirani wa humu maana nawapenda wote.ππππ