Huu ni ulimbukeni au ndio ustaa?

Ndio maana vijijini wanarogana Kisa mtu kajenga nyumba ya Bati.. Itakuwa umasikini au Pepo wachafu..
 
Sasa kosa lake ni nin hapo!? Kwa wanaomkandia..

Kwa swali lako wewe jibu ni "huo ni ustaa"
 
kama zake ajitahidi kuwekeza..mwanzo mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…